Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Rfinyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kenge nyie eti staa vini Jr anakimbia kama kuku mwenye kideri huyu ndio mnataka apewe baloon dor🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Kwani ballon d'or unapewa kwa kushinda El clasico tu? Rodri anafanya nini kwenye list kama ndo hivyo?
 
Alafu uwanja wameziba juu. Yani mnajifungia ndani na wasela nondo alafu mnadhani mtabaki salama?

😅😅😅😅😅
 
***** usengerema huu...ni wazi babu carlo na benchi lake hawajafanya study zao vizuri msimu huu,lakini pia wachezaji tulio nao na uwezo wake wakuwapanga kulingana na uwezo wao ni mdogo sana,kwa mechi zaidi ya mbili zilizopita dalili ya timu kupitika haswa kwa counter attack zilijionyesha wazi,Rudiger na Miltao ni Beki kwa asili zinazocheza namba moja na zote zina tamaa yakupanda mbele na huwa haziwasiliani uwanjani,so utakuta wanategeana kuucheza mpira na kurudi kwenye maeneo yao lakini pia kwa miaka nenda rudi huwa tunakuwa na mabeki wenye roho mbaya,sasa tuna mabeki wana roho za kike,siyo wapambanaji haswa kiasi kwamba washambuliaji wa timu pinzani waogope goli...huku mbele Mbape ameshindwa kabisa kuwa mfungaji na wala siyo mtengeneza nafasi kwa wengine..Lunin nlisema ni kipa wa kawaida sana,uwezo wakuzungumza na beki zake ni mdogo na anafungwa magoli ambayo unasema angeweza fanya kitu.
 
Team inacheza kwa kuvizia vizia lazima ukiingia kilo watu wanakata shanga ,kama ivi gongo nne nyingi sana
 
Kenge nyie. Tulishasema marefa wakiamua kuw fair nyie hamna mahali mnafika. Hayo magarasa yenu hayana lolote, Vini, JB, KM wote kenge tu na bado. Mkicheza na liverpool mje na leso za kufutia machozi kengepori nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…