Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Upo sahihi kabisa mzee
 
Game ilikua nyepesi toka mwanzo ila mzee ndio anazifanya game kama hizi kua ngumu.

Ningesikitika sana kama tungepoteza mbele ya Dortmund hii tena nyumbani
 
Naichukia Real Madrid. Ikitoka Shetani CCM na polisi wa Tz wanafuata Madrid kwa kuwachukia
 

Mkuu tatizo la Arda hawezi kufanya defensive duties, sasa kwenye timu kuna Mbappe na Vini ambao wote ni wavivu unafiki ni salama hapo kuengeza na mtu wa tatu? kocha yupo sahihi kwenye hilo.
 

mutaelewa tu, itafika muda tutaongea lugha moja.
 
Tumeshinda yes ila bado kuna changamoto. Hii changamoto haijaanza jana. Kila game inakuwa kama final kitu ambacho sio sawa kwa RM kuna games ni za ku cruise tu.

timu inakosa creative midfields pamoja na wenye uwezo wa ku control tempo ya game, Kati ya Valverde na JUde ni mmoja tu anatakiwa awepo uwanjani kwa wakati, huwezi kuwa na midfields wawili amabo wote sio ballers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…