Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hii game Carlo aliiunderestimate sana,kuchezesha Endrick asiye na uzoefu wa game za UCL na Camavinga katoka majeruhi na mbaya zaidi game ni away...hii timu msimu huu itatutia pressure,ndo mwanzo,tukikutana na timu ambazo zipo vizuri tutapigwa kipigo cha mbwa mwitu na aibu..leo yenyewe hapa tumeshaharibu record.
 
Mi mwenyewe nimeshangaa sana kumuanzisha Dogo Endrick, lakini kingine kuna wachezaji Game inawakataa mapema sana lakini unaona bado wanapewa dakika, Leo Vini hakuwepo kabisa yule tuliyemzoea walau angemjaribu hata Rodrigo
 
Kumbe kufungwa ndo inaumaga hivi.

Doni namuheshimu sana ila baada ya Msimu kuisha apishe vijana wajenge timu.

Madrid ina wachezaji bora lakini haitishi kwa sababu haina muunganiko!!!!

Kila mchezaji anacheza kivyake yaani tunategemea uwezo binafsi wa wachezaji.

Sasa Kuna game baadhi ya wachezaji wanakua hawapo vizuri mapema tu..

Ila kwa kua kakariri Sub mpaka dakika za 70+ timu iwe imefungwa au haijafungwa yaani Kila siku mbinu zile zile.

Mzee abadilike aisee asijekumaliza career vibaya.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kenge wakubwa nyie mlidhani kitonga leo.

Nawachukia sana nyie kenge
Wakitoka Shetani, CCM na polisi wa Tz mnafata nyie kwa kuwachukia
Ndugu approach unayotumia kushabikia ni ngum sana,kuanzisha mjadala wapinzani wako ni ngum,punguza maneno makali,ni ushauri tu kaka
 
Tatizo kubwa kwenye team hakuna muuunganiko kuanzia kati Hadi juu,pili uninafsi mwingi kila mmoja anataka kuonekana,no 10 muda wote kudrible tu,ngoja tuone game ijayo
 
Carlo kafanya record ivunjwe kizembe kabisa.
 

Attachments

  • Screenshot_20241003_081253_X.jpg
    333.2 KB · Views: 18
  • Screenshot_20241003_081239_X.jpg
    177.7 KB · Views: 12
Mi mwenyewe nimeshangaa sana kumuanzisha Dogo Endrick, lakini kingine kuna wachezaji Game inawakataa mapema sana lakini unaona bado wanapewa dakika, Leo Vini hakuwepo kabisa yule tuliyemzoea walau angemjaribu hata Rodrigo
Ila binafsi kikosi kilichoanza ni kama Don Carlo aliwa under estimate Lile

Rodrygo na Mbappe wote ni injury sasa mulitaka aanze nani mwengine wakuu?
 
hawa wanaojiita wapenzi wa real Madrid Gen Z ni ovyo sana, time imefungwa kwa mara kwanza kwa karibu mechi 40, unawakuta mitandaoni wanalalmika kocha afukuzwe, PUMBAV kabisa.
 
Madrid ina wachezaji bora lakini haitishi kwa sababu haina muunganiko!!!!

wachezaji wa real madrid wengi wao ni hawana huo ubora mkubwa sana wanabebwa na mazingira ya timu zaidi.

vini ndani ya brazil ni kituko, same for rodrygo na militao
camaving ni still bench player France, mendy hata kuitwa national team kwa shida

kwa kifupi wengi wao wana perform their best hapo ndani ya club.
 
Tatizo kubwa kwenye team hakuna muuunganiko kuanzia kati Hadi juu,pili uninafsi mwingi kila mmoja anataka kuonekana,no 10 muda wote kudrible tu,ngoja tuone game ijayo

time inakosea wachezaji wa aina mbili, central midfield mwenye uwezo wa ku control game, pamoja and skillfull attacking midfield mwenye uwezo wa ku create chances.
 
Wangekua wachezaji wa kawaida wasingechukua uefa na la liga mzee.

Hebu fikiria Carlo Angekua na kikosi kama cha Barcelona angelitoboa hata top 4 kweli?

Kwa namna Carlo anavyofundisha saivi ukimpa timu kama Barcelona hata top 4 hatoboi.

Kumshusha vin na Rodrigo kisa kuto-perfome national team hilo umenishangaza pia.

mfano Halaand na Lewandowski wanapokuaga bora kwenye club zao hua wanatoa Ubora huo huo kwenye mataifa yao?
 

unachekesha sana mkuu, Halland ana 31 goals kwenye 33 games national team, Lewandoski and nearly 80 goals national team sasa unataka waoneshe ubora gani mwengine mkuu?
 

vini na rodrygo before carlo walikuwa ni takataka, carlo ndie aliwadevelop wakafika hapo walipo.


halafu mkuu unaichukulia poa squad ya barca? yani timu ina lewandoski, Olmo, Pedri, Rafinha, Yamal, Gavi, De jong, ter stegen, araujo, kounde yani unakifanya kikosi dhaifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…