Kipindi cha kwanza tumecheza kwa umakini sana, vijana wanajitahidi sana kutofanya makosa.,ninadhani kipindi cha pili team itabadili mtazamo.
Atletico kama kawaida yao,kati kati wanakuwaga na utitiri wa viungo,, mbinu yao ya kupiga pasi ndefu kwa kipindi hiki tumeithibiti vyema.