Jana kwa mara ya kwanza msimu huu nimeona timu imeanza kuwa serious naona kunadogo mpya ambae ni tishio sana Endrick aisee ni kama yule wa Barca(New superstar). Akitunzwa hakika watakula matunda yake.

Yeah, jana vijana walijitahidi, bado hawajfikia kiwango cha kuwapongeza, ila ninaona kuna jitihada., akirudi Camavinga labda team itachukua sura mpya, ila kwasasa wanaendelea kuimarika.
Kwa Endrick, yule dogo ni mchezaji, ninaona Ancelotti anampa dakika chache ili aendelee kuozea mazingira na mchezo kwa ujumla, ila connection na wenzake uwanjani yupo vizuri.