Sometimes I wish Mbappe could play with Benzema japo kwa msimu mmoja. Acheni masihara, misimu yake miwili ya mwisho Benzema alikuwa mtamu. Alikuwa anacheza chini ya duara huku na Modric kama kiungo. Yaani ile talent achana nayo
Hawa wakikutana na pep kipara wanageuka mabeki wanashindwa kutumia talent zao ,utashangaa kuona foden bora kuliko vinicious ,kazi ni midblock na counter attacks 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hawa wakikutana na pep kipara wanageuka mabeki wanashindwa kutumia talent zao ,utashangaa kuona foden bora kuliko vinicious ,kazi ni midblock na counter attacks 😂😂😂😂😂😂😂😂
haupo serious wewe aya awo ambao waligeuka washambuliaji walipata nini au wananin cha ajabu walichofanikiwa kwenye soka zaidi ya kushinda ligi ya Mbuzi
haupo serious wewe aya awo ambao waligeuka washambuliaji walipata nini au wananin cha ajabu walichofanikiwa kwenye soka zaidi ya kushinda ligi ya Mbuzi
Wewe ndio hauko serious ,inasikitisha kuona mechi ya man city vs madrid ,doku anakuwa bora kuliko vin na ridrigo huu ni uhaini dhidi ya big talent ,wapenzi wa mpira tunapenda unashinda kombe kwa swags ,unaikumbuka madrid ya Zizzou akiwa kocha?ulimuona winger anakuwa beki ?unaikumbuka liverpool bingwa wa Cl chini ya master of jurgern?City ya Pep? Barcelona ya Pep na Rijkard? Wachezaji waonyeshe vipaji vyao tuburudike ,mpira ni burudani.Leo tunajadiliana jude anastahili balon dor lakini tukikumbuka game za buyern ,city alikuwa anazurura tu akimsaidia beki kukaba ,bora camavinga apewe ndio kazi yake.