Hata sio siasa man, Carlo hawezi kum-risk mtu aliyekaa bench karibia msimu mzima, anahitaji muda ili arudi katika hali yake, angalia hata Militão makosa anayoyafanya., ndio maana hata mwenyewe ameamua asicheze game za Euro ili apate muda mzuri wa kuendelea na program yake, ili msimu ukianza awe fit.
Lunin ni kweli anafungwa magoli yanayofanana, na yeye anahitaji uzoefu, ni golikipa mzuri, anahitaji zaidi kujiongeza namna ya kusoma mchezo basi.