Nothing Personal, Ila Jamaa ni kilaza, na British Media inatumia nguvu nyingi kuaminisha jamaa ni Best Player wa timu kitu ambacho ni kituko, mbaya zaidi kuna wanojiita mashabiki wa Madrid wemeingia kwenye huo mtego
Jude Bellingham jana alikimbia kilomita 15 dhidi ya Manchester City pale Etihad,
Pia alipiga chenga 100% zilizokamilika na usahihi wa pasi 94%, yaani alipiga pasi 31 zilizokamilika, alipokonya mipira mara 10 alishinda mipira ya juu mara 3.
Kiwango chake cha kazi uwanjani ni cha ajabu.
Alijitahidi.
Hii timu haina mvuto sasa mkichukua CL Mara 15 mnapata faida gani
uyo mtoto ni mshamba sjui kwanin uwa anakuja kweny hii Nyuzi iyo game yenye inawezekana ata hajatazama ila kubwabwaja ndio kanachojua afu kana ujuaji Mwingi sana
Trent kwa pressure Kama ya leo Lazma angekua uchochoroMkuu achautani, Trent ni mua, tena ni uchochoro kabisa. HUyo Hafai.
Aisee Jana sikuwai kujua Bellingham anajua kukaba vile, jamaa anaziba njia utadhan pure beki.asa we ulitaka Belligam atoke wakati timu jana ilikua more definsive kuliko Attack hujamuona jana wakati anasaidia
kukaba city kweny kiungo wa Chini kuna mda walikua wanacheza Rodri na Akanji Rodri akipanda Akanji anaenda kuziba Nafasi na Bado dogo alipigana sana kukaba na kuna mda alikua anakuja kumsaidia Mendy upande wa kushoto kukaba pia unasahu kama kweny Goli la Rodyrgo kahusika ku link shambulizi kwa kazi waliofanya Vijana jana afu kuna mpuzi kama wew unakuja unakosoa wachezaji huoni umuhimu wa alichofanya kijana bila shaka una matatizo kichwani
kajitoa Sana jana kukaba City jana kati walichafuka ohoooo Sio mchezoAisee Jana sikuwai kujua Bellingham anajua kukaba vile, jamaa anaziba njia utadhan pure beki.
Trent kwa pressure Kama ya leo Lazma angekua uchochoro
Mkichukua treble mara mbili mnapata faida ganHii timu haina mvuto sasa mkichukua CL Mara 15 mnapata faida gani
Nawachukia sana kenge nyie
Unakuaga mbishi hadi unakera, pre assist ya goli imetoka kwa nani?eti kahusika kwenye goli, sasa ndio nini
we need Hakimi or full fit recee james as our RBtunapenda mihemko sana, hawa wachezaji wanaokuzwa na Media tunawapa mawuwa wasiostahiki kabisa. Jamaa ukimtizama kwa umakini kidogo tu unagundua kuwa hapana beki pale.
Nikimuona Camavinga jinsi anavyofanya undava hapo katikati namkumbuka Ediga Davis mtupu.Hatuna haja ya kiungo mkuu camavinga na tchou watamaliza izo kazi believe me
Vamoos CampeonHalla Madrid
View attachment 2967603
Huwa wakiambiwa ligi ya Hispania ni bora wanabisha, haya, yakowapi!Kweli Arse8 umevurugwa kabisa, hatimaye ushakuwa fungu la kukosa maana leo hii 18/04/2024 hakuna Arse8 wala Mwacity ndani ya UEFA champions league