Kijana ana uwezo mkubwa sana akiwa na mpira mguuni, shida ni ile tu sio mlinzi mzuri.., ndio maana Carlo anaanza na Rodrygo, Ninamsubiria huyu Arda akae vizuri
Cityzenz naona ni toughest opponent wetu kwa sasa. Makosa ya last season tusiyarudie. Tucheze long passes tutamaliza game mapema. Ila tukikosea tukacheza shortpasses tumeisha kama last season.
Vin na radrygo wakialternate kushoto kulia kulia kushoto modric akiwa katika master piece yake kupiga long passes japo sina uhakika kama atauweza mziki wa viungo wa cityzens. Ikiwa ivo tumetinga fainali
leo vin osasuna kawapelelesha sana ila yule mendy inabidi ataftiewe mbadala ana makosa ya kitoto mengi sana leo alimanusura agawe Goli Mbili kwa osasuna