Umepewa mfano umeleta tena mada[emoji23] chief
Mariano alitokaga wapi? huyo dogo sijawahi kumuelewaNi rasmi sasa Kb9 hazzard assensio na mariano wameagwa
Kwa nini?club yake imekataa au?[emoji599][emoji378] BREAKING: The Havertz transfer has COLLAPSED. He's NOT coming.
[MARCA] #rmalive
The blues wametaja dau kubwa kuliko market value sasa papa perez si tuna mjua kumuingiza chaka yataka utumie akili sana
Ahaaa...ok...The blues wametaja dau kubwa kuliko market value sasa papa perez si tuna mjua kumuingiza chaka yataka utumie akili sana
Bado number 9 la duniaJude [emoji736]
Fran [emoji736]
Diaz. [emoji736]
Tuendelee kusubiri. Kuona timu inaelekea wapi
Lakini our big summer sign ndio iyo teyari
Jude Tayari
Bei kubwa sanaUtapeli ulaya Upo
Bado number 9 la dunia
Mbape kashatutosa safari mbili mkuuu emu skama vipi tumpige chini madrid sio kama Yanga kungangania mchezaji kama vile yeye ndo uzima wa mileleHatuwezi weka nguvu kwa harry kane ikiwa next summer mbappe yuko free, pia dogo wa brazil anakuja. Tujiandae kupambana na force 9[emoji13]
Mbape kashatutosa safari mbili mkuuu emu skama vipi tumpige chini madrid sio kama Yanga kungangania mchezaji kama vile yeye ndo uzima wa milele
Ngoja tupo hapa mbape ataongeza tena mkataba sisi tumekaa kumsubiri. Lets move on. Dogooo atapewa jacuzi la mihela awe anaogelea kwenye note za fwedha tena. Mwarabu sijui huwa hawana cha hasara wale majamaa.Huwezi kukataa kilicho bora mkuu huo ndio ukweli. Ata leo perez analijua ilo