Huu upande wa Camavinga umezidiwa,ni kwa sababu kroos ambaye anawajibika kutanua wakat wakukaba ili kumpunguza speed huyu Bernado nae anarudi nyuma nakuwa kama beki na ndio maana mipira haiendi juu kwa Vin Jr,me nafikiri hapa ni angetoka Kroos au Velverde kisha aingie beki kwa asili kabisa wakushoto kisha camavinga asogee kama kiungo.
Sent from my SM-A336E using
JamiiForums mobile app