Bado tunakwama kwenye kutengeneza nafasi za kufunga., Vinicius siku hizi hatengenezi tena nafasi., Modrić amezeeka., Kroos anacheza chini sana., basi imekuwa shida kweli kweli.,
Hawa wazee wetu tuwavumilie tuu. Ila sidhani kama watapewa ongezeko la mkataba. Perez anaamini ni wakati sahihi wa kuweka vijana kikosini ili kiendelee kuzoeana
Hawa wazee wetu tuwavumilie tuu. Ila sidhani kama watapewa ongezeko la mkataba. Perez anaamini ni wakati sahihi wa kuweka vijana kikosini ili kiendelee kuzoeana
Uwanja ule bosi hauusiani na usajiri. Tunajenga kwa mkopo bodi ilimpa idhini perez kufanya hivyo. Tangu tufanye usajili ghari wa hazard then tchouameni hatujafanya sajili kubwa zaidi.
Kibunda kipo tunafukuza tuu talent. Soko la usajili lishakua gumu. Maana wachezaji wa kawaida ukigusa unaacha 100.
Ndio maana ata yule dogo wa dortmund Madrid wamesema hadi atangulize tamanio la kucheza madrid ndio wao wafuate kujazia mzigo
Hawa wazee wetu tuwavumilie tuu. Ila sidhani kama watapewa ongezeko la mkataba. Perez anaamini ni wakati sahihi wa kuweka vijana kikosini ili kiendelee kuzoeana
Luka bado anatamani kubaki., ila Kroos ndio anaweza kufanya maamuzi akatembea., sio mbaya tukabaki na mmoja wao., atasaidia kuwafundisha hawa vijana wapya.,