Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,093
Tusha wekwa goli tayariNinatamani sana nione kwenye kiungo tutacheza vp Leo,
Wazee ninawategemea kwa updates., uwezekano Wa kuangalia hii game kwa Leo ni mdogo sana
Bado mapema, japo hatuchezi vizuriTushapoteza points 3 zingine leo
Ilikuwaje Asensio akapewa apige penalty!? Rodrygo hakuwepo uwanjani!?Asensio anakosa penalty
Ni mapema sana, japokuwa kwa jinsi Barcelona wanavyo cheza itatuwia ngumu sana, haswa pale unapokuwa na kazi ya kuomba fadhila kwa mwenzio apoteze mchezo.,Hii timu ikipoteza huu mchezo ndio tumetupa kombe
Ishaisha hivyoNi mapema sana, japokuwa kwa jinsi Barcelona wanavyo cheza itatuwia ngumu sana, haswa pale unapokuwa na kazi ya kuomba fadhila kwa mwenzio apoteze mchezo.,