Kwetu ushindi ni jambo la kwanza, na muhimu, kucheza vizuri huwa inatokea na inategemea pia aina ya mpinzani, kuna team inaingia uwanjani kutibua mipango tu ama kupack bus, Sasa mpinzani wa aina hiyo akikubahatisha goli mnaweza mkatoka droo ama ukafungwa,
Valverde hana uwezo mkubwa kama wa Modrić ama Camavinga, ila jamaa kiukweli ana nguvu, muda wote uwanjani anakimbia na huoni dalili za yeye kuchoka, huwa ninapenda ahusike kwenye counter attack., yupo vizuri sana kwenye sector hiyo, ile ya juzi Vinicius aliingilia ila jamaa alikuwa anaweka kamba.,