Marco Asensio looked angry at not coming on but Ancelotti explained why he didn't introduce the Spaniard.
"The reality is that I wanted to make the two changes. We were preparing to bring on Mariano [Diaz] and Asensio if we didn't make it 2-1," he said.
"Lucas [Vazquez] was injured and we only had one more window, and I didn't think about making that change.
"If he's angry, I agree with him. It's normal, it means he wants to play, to feel important. In this period he has been the most affected player in the squad and I take that into account. I totally agree with his anger, that's fine."
Hivi tetesi za Real Madrid za kutaka kumsajiri Nicolo Zaniolo kama mrithi wa Modrich pale atakapoondoka Madrid, watakuwa wamelamba dume au wamepigwa? Maana inasemekana Don Carlo Ancelotti anamkubali sana.
Vinicius ni msumbufu sana na anakimbiza sana, ila Rodrigo amechagua kutokuwa mkimbizaji sana,bali ktuumia akili nyingi sana kufunga magoli ambayo hayatabiliki .

Bado milango ni migumu, na kiukweli licha ya kucheza vizuri bado hatuna hatari kubwa kwenye lango la mpinzani., wao wametukosa mara mbili., ninadhan tunahitaji creativity zaidi tunapokuwa karibu na lango la mpinzani