Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,301
- 2,126
Ni kweli, pia vijana waliopata nafasi msimu uliopita hawakutuangusha, hiyo inatupa mwanga hata Modric na Benzema wakiondoka bado tutakuwa na watu wenye uzoefu na haya mashindano.Hii ndio maana halisi ya Ligi ya Mabingwa, huwa ninakuwaga na amani sana pindi tu tunapopangiwa kukipiga na hao wakali, ina maana unapata kipimo sahihi mapema, so ukifanikiwa kupita hapo hata morale ya wachezaji inakuwa juu sana.
Ninakumbuka baada ya kuwatoa PSG Modrić alisema kuwa hii ni mpaka final, kwamba kuvuka pale haikuwa rahisi, so hawakuoana tena team ya kuwasimamisha.
Jana nilishindwa kuangalia game yetu, hata kwa simu tu ilishindikana., ninafurahi kusikia kama kijana anaendelea vizuri., kiukweli amekuja wakati muafaka.Tuna Tchoua na Camavinga..
Tchouamen naona anamfunika Ton kwenye pass accuracy (95%) leo... Ton 91%
Kwasababu ya matengenezo yanaendelea pale Bernabéu, so club iliomba game tatu za mwanzo kuanzia ugenini ili kuweka mambo sawa, hata msimu uliopita ilikuwa hivyo hivyo., game inayofuata tutacheza Bernabéu.Mbona game zetu tunacheza ugenini tu
Mwenyewe sikufanikiwa man, ninatumaini kuanzia game zinazofuata nitapata nafasi ya kuziangalia.Sikutazama game ngoja niirudie hapa majukumu yanakaba
Ninadhani baada ya Casemiro mtu atayefuata kuondoka inawezekana ikawa Toni Kroos., ilitegemewa kuwa mwaka huu angeongeza mkataba ila alighairi, so sitashangaa kusikia anataka kuondoka msimu ujao, suala la msingi ni Ancelotti aendelee kumpa nafasi Camavinga ili iwe rahisi kwenye hiyo transition.Tumeshinda ila kwa mbinde vini Lucas toni under perform
Madogo wakiendelea vile aise tuna timu..Jana nilishindwa kuangalia game yetu, hata kwa simu tu ilishindikana., ninafurahi kusikia kama kijana anaendelea vizuri., kiukweli amekuja wakati muafaka.
Yaa, walikua wanamalizia pitch mpyaKwasababu ya matengenezo yanaendelea pale Bernabéu, so club iliomba game tatu za mwanzo kuanzia ugenini ili kuweka mambo sawa, hata msimu uliopita ilikuwa hivyo hivyo., game inayofuata tutacheza Bernabéu.
Ilikuwa balaaa Madrid ilionyesha umwamba wa Hali ya juu sabaSijawahi kuona bingwa mwingine yoyote aliekutana na vigogo wengi kama Real Madrid hii ya 2021/2022.
Nimeangalia kipindi cha pili tu, ni kweli karibia kila game tunaruhusu goli sijui shida ni nini, japokuwa tumecheza na team ngumu, Betis wanacheza vizuri sana, tumewafunga kwa uzoefu, ila walikuwa poa, sijui kipindi cha kwanza kilikuwa vipi.Tumeshinda 2 kwa 1 Ila tunaruhusu sana magoli
Kweli, kwa kipindi cha pili nilichoangalia, jamaa sijui ana shida gani, ninadhani hajiamini, pia kiungo kidogo tulikuwa slow sana,Game ilikuwa ngumu sana, hakuna mchezaji anaestahili 8/10 ila Mendy alikuwa mzigo.
Nadhani ni muda sahihi sasa Alaba aende kushoto Rudiger aingie kati.Kweli, kwa kipindi cha pili nilichoangalia, jamaa sijui ana shida gani, ninadhani hajiamini, pia kiungo kidogo tulikuwa slow sana,
Ancelotti anadai kuwa hawezi kufanya majaribio wakati ana combination iliyobora na iliyemletea kombe, ila huko tuendako ni lazima atafanya hayo mabadiliko., ninadhani anasubiria Rudiger azoee mazingira, bado jamaa ninadhani anajiona kama bado anacheza Chelsea hivi, hajatulia,Nadhani ni muda sahihi sasa Alaba aende kushoto Rudiger aingie kati.
Kwenye kiungo mzee baba tangu kipindi cha kwanza tunastruggle labda hatukutegea ule upinzani. Pia Betis ni wa 2 kwenye msimamo na wanafundishwa na Pelegrin kwahiyo wanaonekana wamejipanga msimu huu.
Goals concededTumeshinda 2 kwa 1 Ila tunaruhusu sana magoli