Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Kisu kimegusa mfupa. Sifa ziliwaponza sasa kuleni jeuri yenu. Mungu wenu na rais aliyepita amewaponza. Bado hamjaanza kukodisha masufuria sisi waanswar tuje tukodi eid ijayo. LoLSource ni Kitenge sports?
Kwani nyie wenzetu mnatumia kiungo gani kufikiri?
Kuna kipindi walikua wanasema Real madrid imejaa madeni na bla blaa kibao. Sahivi naona hizi story zimekataKisu kimegusa mfupa. Sifa ziliwaponza sasa kuleni jeuri yenu. Mungu wenu na rais aliyepita amewaponza. Bado hamjaanza kukodisha masufuria sisi waanswar tuje tukodi eid ijayo. LoL
Pole mkuuWanasema chizi akibeba nguo zako akakimbia nazo, na wewe ukaamua kumkimbiza ukiwa uchi, basi wewe ndio utaonekana chizi zaidi.
Kwa ulichokiandika, umeonyesha vile umeamua kunitoa ufahamu kama huyo mwehu uliemquote!
Kumlinganisha na huyu mwamba ni mlima na kichuguuWanasema chizi akibeba nguo zako akakimbia nazo, na wewe ukaamua kumkimbiza ukiwa uchi, basi wewe ndio utaonekana chizi zaidi.
Kwa ulichokiandika, umeonyesha vile umeamua kunitoa ufahamu kama huyo mwehu uliemquote!
hapa kipengele cha assist mkatoa🤣
Una Messi, una neymar, una dimaria, una mbape.
Bado TU unamtaka touchmen
Tamaa za fisi hizi,
Ndo maana hawafanikiwi
jamaa alikuwa na msimu boraa sana huu mwaka hilo halina ubishiKumlinganisha na huyu mwamba ni mlima na kichuguu View attachment 2251556
hapa kipengele cha assist mkatoa
akikujibu nitag. Kwahiyo tofauti yake na Lukaku ni assist mkuu? Sasa kwanini alinganishwe na Benzema?
Me sijasema issue ya kulinganishwa na benzema... hata reply yangu hapo juu nimeappreciate kwamba benzema ana msimu bora ila ata kama messi hana msimu mzuri sio mmlinganishe ns mtu wa kilo mia. Kwahiyo tofauti yake na Lukaku ni assist mkuu? Sasa kwanini alinganishwe na Benzema?
nimetoa majibu uje sasaakikujibu nitag
LoL
Statistical ndio yupo level hiyo mkuu, sasa tumlinganishe na nani? Hujasema issue ya kulinganishwa na Benzema ila hiyo ndio ilikua conversation uka chip in..Me sijasema issue ya kulinganishwa na benzema... hata reply yangu hapo juu nimeappreciate kwamba benzema ana msimu bora ila ata kama messi hana msimu mzuri sio mmlinganishe ns mtu wa kilo mia
Nimerefer replays zangu zilizofata mbona...Statistical ndio yupo level hiyo mkuu, sasa tumlinganishe na nani? Hujasema issue ya kulinganishwa na Benzema ila hiyo ndio ilikua conversation uka chip in..
Umelewa weweNever and forget it but just because Benzema won UEFA and la Liga doesn't mean he deserves to win Ballon D'or,that award is special for talented player and who is that player only Messi.
Look this was Yesterday Man..... 5 goals in single game.Umelewa wewe
View attachment 2252869Vinicius Jr deserved to be number three actually Haaland was deserving to be number two.