The goal was scored after a scrum in front of the Liverpool goalmouth in which midfielder Fabinho failed to clear the ball. The ruling was that while Fabinho was the final player to touch the ball before Benzema’s goal, he didn’t “deliberately” touch the ball when Benzema was in an offside position.MKuu hapo ndipo kwenye hoja kuu, yule haukumgonga bali aliucheza katika harakati za kuokoa. Hiyo ishu mpaka huko ulaya imezungumzwa sana na kumwagiwa povu, imezimika kwa kuwa Real Madrid wameshinda game, bila hivyo ingelileta ni Contravention kubwa sana.
Kwa hali ilivyo ni lazima Marcelo aondoke man, ujio wa Rudiger ina maana David Alaba atahamia upande wa kushoto, maana yake hapo atakuwa na Mendy, wakati huo huo Nacho bado yupo yupo sana, so unaweza kuona nafasi ya Marcelo hapo haipo., mwenyewe alitamani abaki ila club kama ilimbania hivi.,Marcelo sioni tatizo akiendelea kubaki Madrid.
Ule upande wa kushoto kuna beki gani wa kupanda na kushuka anamzidi!
Ndio yule Mendy? Aaaah hata simkubali kivile...
Hata Isco mbona anapiga kiungo fresh tu.
Hapo wa kusepa ni Bale tu. Wengine wabaki.
Mkuu unaangalia mechi kweli? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].Marcelo sioni tatizo akiendelea kubaki Madrid.
Ule upande wa kushoto kuna beki gani wa kupanda na kushuka anamzidi!
Ndio yule Mendy? Aaaah hata simkubali kivile...
Hata Isco mbona anapiga kiungo fresh tu.
Hapo wa kusepa ni Bale tu. Wengine wabaki.
Tumshukuru Mungu tu lile goli lilikua lakwetu, otherwise Uingereza nzima ingekua unazungumzia namna Madrid alivyobebwa... Unapoenda ku defend tunaamua vipi kwamba mpira ulikugonga bahati mbaya au ulikua eneo husika ili uzuie??The goal was scored after a scrum in front of the Liverpool goalmouth in which midfielder Fabinho failed to clear the ball. The ruling was that while Fabinho was the final player to touch the ball before Benzema’s goal, he didn’t “deliberately” touch the ball when Benzema was in an offside position.
Generational Marketing | Tourism Tiger
Different generations have different travel needs and desires. This article shows what you need to know when selling your tours to them.www.tourismtiger.com
According to the official Laws of the Game:
"A player in an offside position receiving the ball from an opponent who deliberately plays the ball, including by deliberate handball, is not considered to have gained an advantage, unless it was a deliberate save by any opponent."
Ule mpira Fabinho hakukusudia kuucheza, mpira ulimfuata ghafla ukamgonga na kudivert kwa Benzema, refa na VAR wako sawa. Waandishi wanakuza kwa sababu ndio kazi yao media content zao ziuzike
The goal was scored after a scrum in front of the Liverpool goalmouth in which midfielder Fabinho failed to clear the ball. The ruling was that while Fabinho was the final player to touch the ball before Benzema’s goal, he didn’t “deliberately” touch the ball when Benzema was in an offside position.
Generational Marketing | Tourism Tiger
Different generations have different travel needs and desires. This article shows what you need to know when selling your tours to them.www.tourismtiger.com
According to the official Laws of the Game:
"A player in an offside position receiving the ball from an opponent who deliberately plays the ball, including by deliberate handball, is not considered to have gained an advantage, unless it was a deliberate save by any opponent."
Ule mpira Fabinho hakukusudia kuucheza, mpira ulimfuata ghafla ukamgonga na kudivert kwa Benzema, refa na VAR wako sawa. Waandishi wanakuza kwa sababu ndio kazi yao media content zao ziuzike
It is true Kanote na Fabinho ndio waliogombania mpira and from that phenomeno, that was a clean goal. Hao wa VAR nadhani wanaingia wamelewa na REfa alitakiwa kwenda kujiridhisha sio kuwategemea hao wa VAR. Nadhani tafsiri ya "Delibarate" inabidi itafsiriwe upyaHapo ndipo penye tatizo, mpira haukumfuata Fabinho, Fabinho ndie alieucheza na kabla ya kuugusa yeye ulichezwa na Kanote.
Iyo list ya wachezaji niliona wauzwe wamepita chini ya makocha kama watatu SOLARI, JUAN, ZIZOU na sasa DON CARLO wamekuwa wakipigwa bench mara kwa maraBrother mbona unataka tuuze wachezaje wengi hivo wakati tumesajili mmoja tu so far (Rudiger).
Ama kuna plans za kusajili wengine.
Timu si itabaki finyu sana. Rotation ya wachezaji haitokuepo.
Halafu inaonekana Mendy unamkubali sana... Mbona sijawahi kumuona amepanda mbele kumsaidia Vini Jr mashambulizi upande ule. Yeye muda wote yuko nyuma tu.
Mbona mwenzie wa right back (Carvajal) huwa anapanda na kushuka anawasaidia kina Varverde, Asensio na Rodrygo.
Katupatia vikombe 5 vya UCL ndani ya miaka 8Kiukweli baada ya Santiago Bernabéu, anyefuata kwa juhudi nyingi kama Rais ni Florentino, jamaa anajali mambo ya club kuliko hata mishe zake., kuna siku jamaa alisema kuwa Florentino akiona kwenye Forbes team imeshuka huwa anawavutia wire mazima kuwauliza, Real Madrid imezidiwa kwenye nini na huyo namba moja., ila yeye akishuka kwenye nafasi za wenye mkwanja wala hajali.
Hopefully bado tutakuwa nae, kwasababu kwa juhudi anazo onyesha plus matengenezo ya uwanja sioni Wajumbe wanaanzia wapi kumnyima kura.
They call him PAPA PEREZ....Katupatia vikombe 5 vya UCL ndani ya miaka 8
Ni kweli kuna wachezaji wamekuwa mizigo sana, ila kama hawa wataondoka basi itabidi tusajili mbadala wao na wengine tuwachukue Castilla, kwasababu msimu ujao tutakuwa na game nyingi sana plus kuna World cup hapo December, so tunahitaji kuwa na kikosi kipana kweli kweli., laa sivyo itakuwa tatizo.,Iyo list ya wachezaji niliona wauzwe wamepita chini ya makocha kama watatu SOLARI, JUAN, ZIZOU na sasa DON CARLO wamekuwa wakipigwa bench mara kwa mara
Sasa wasiicost club mishahara yao. Nathamini mchango wao hasa kipindi cha rotation ya wachezaji ila kule castilla kuna vijana wanahustle kinoma tuwapandishe kwenye nafasi zao wasije kupoa tusajili pia.
kwakweli mendy hapana mimi bado haja ni impressBrother mbona unataka tuuze wachezaje wengi hivo wakati tumesajili mmoja tu so far (Rudiger).
Ama kuna plans za kusajili wengine.
Timu si itabaki finyu sana. Rotation ya wachezaji haitokuepo.
Halafu inaonekana Mendy unamkubali sana... Mbona sijawahi kumuona amepanda mbele kumsaidia Vini Jr mashambulizi upande ule. Yeye muda wote yuko nyuma tu.
Mbona mwenzie wa right back (Carvajal) huwa anapanda na kushuka anawasaidia kina Varverde, Asensio na Rodrygo.
Yule. Dogo anaevaa no 10 Ac Milan hatumrudishi dirisha hili?Ni kweli kuna wachezaji wamekuwa mizigo sana, ila kama hawa wataondoka basi itabidi tusajili mbadala wao na wengine tuwachukue Castilla, kwasababu msimu ujao tutakuwa na game nyingi sana plus kuna World cup hapo December, so tunahitaji kuwa na kikosi kipana kweli kweli., laa sivyo itakuwa tatizo.,
Mpaka sasa tumekamilisha deal la Rudiger, pia kuna taarifa kuwa usajili wa Tchouameni unakaribia kukamilika, pia Andy Lunin atatolewa kwa mkopo kupata play time, halafu tunamsajili golikipa wa Chicago fire., kuna tetesi kuwa club inamfuatilia kwa karibu striker wa AC Milan Rafael Leao., plus vijana wa Castilla tutakuwa tuna kikosi kizuri tu.
Yule sina uhakika, labda kama Ancelotti anaona atamfaa kwenye mipango yake, ila yupo pale kwa mkopo kwa misimu miwili, hatma yake itategemea sana hatma ya Marco Asensio.Yule. Dogo anaevaa no 10 Ac Milan hatumrudishi dirisha hili?
Brahim Diaz, anaujua mpira hatari, future ya Madrid IleYule. Dogo anaevaa no 10 Ac Milan hatumrudishi dirisha hili?
kausha mangi19-year-old Camavinga with his 7-year-old son. Calm down comrades I am trying to calculate...Footballers will kill us with their age!!
Sio Mtoto wake man, huyo ni kijana wa Kaka yake, Dogo sio kwamba hana tu Mtoto hata demu wa kusingiziwa hana.,19-year-old Camavinga with his 7-year-old son. Calm down comrades I am trying to calculate...Footballers will kill us with their age!!