pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,285
- 3,847
Si ndo hapo man...katoka nae juu huko anafika maeneo ya hatar anamuacha....huyu Nacho me sijawah mkubali hata kidgo..ni mchezaji wa kawaida sanaaaaaaDembele anamfanya anachotaka, hata goli la kwanza limetokea upande wake, nimeshangaa badala aende kumbughudhi Dembele asipige mpira yeye akamwachia nafasi.,
Kupitia academy ya Real Madrid na heshima yake kwa club ndio inambeba, ila huwa anatabia ya kukaba kwa macho sana.Si ndo hapo man...katoka nae juu huko anafika maeneo ya hatar anamuacha....huyu Nacho me sijawah mkubali hata kidgo..ni mchezaji wa kawaida sanaaaaaa
Huyu tukimtegemea mechi na chelsea..aisee mapema sana tunalia..Kupitia academy ya Real Madrid na heshima yake kwa club ndio inambeba, ila huwa anatabia ya kukaba kwa macho sana.
Hatuna mwingine zaidi yake Mkuu,ukimweka Marcelo huko ni majanga matupu,Huyu tukimtegemea mechi na chelsea..aisee mapema sana tunalia..
Yule Varejo akikaa kati na huyu Dave akae huo upande wakushoto angalau patakuwa ni maamuzi sahihi ila huyu aisee utasema anacheza kamari..Hatuna mwingine zaidi yake Mkuu,ukimweka Marcelo huko ni majanga matupu,