Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,302
- 2,130
Mara nyingi yupo nyuma, mashambulizi yetu mbele yanafika na watu wachache. Pia leo amepoteza mipira mingi tofauti na Kroos(ingawa hata huyu hakuwa na maajabu).Modric ameshindwa kazi kivp Mkuu.,
Ancelotti hakutaka kupimana ubavu kwenye kiungo, yeye aliingia na idea yake ya kushinda kupitia counter attack, kama alitaka kupimana ubavu angeongeza kiungo mmoja kati ya Valverde ama Camavinga,Tumecheza hovyo sana leo.