Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Si ndo hapo...Hata kama imekuwa offside, Benzema alichofanya sio kabisa, unakosa vp pale
Modirc anacheza kama ana miaka 24 energy ya kutosha skills, foot work, accuracy, efficiency yaani jana kaupiga mwingi kama ndio katoka academy anasaka numberViniciuuuuus..,
Modric mtu poa sana, hakutuma hata sofa ya kufunga.,
Granada 1-3 Real Madrid
Kabisa man, jamaa bado yupo vizuri utadhani ana miaka 28 hivi, kuna taarifa nimeona kuwa club inataka kumuongezea mwaka mmoja tena kwenye mkataba wake, kuna vitu viwili angependa kuvitimiza, kwanza angependa kucheza kwenye Uwanja mpya pindi utakapokamilika rasmi, na pili kutundika daluga akiwa bado anaichezea Real Madrid.Modirc anacheza kama ana miaka 24 energy ya kutosha skills, foot work, accuracy, efficiency yaani jana kaupiga mwingi kama ndio katoka academy anasaka number
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Tunaenda kukutana na Liverpool hatua ya mtoano kwa mara ya tatu mfululizo.