Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hii timu yetu siyo tishio Tena ..imekuja kuwa takataka hata uefa hatutofika popote.
 
Hello Madridistas, Leo team yetu pendwa ipo tena Uwanjani, mtanange wa Leo ni dhidi ya Espanyol wakitukaribisha kwao.
 
Our starting XI for today match ;
Thibaut Courtois; Lucas Vazquez, Eder Militao, David Alaba, Nacho; Fede Valverde, Toni Kroos, Luka Modric, Eduardo Camavinga; Karim Benzema, Vinicius
 
Mpya ya leo kwenye line up yetu ni kuwa Toni Kroos ameanza baada ya muda mrefu kuwa nje kwa majeraha, lakini kubwa zaidi ni Casemiro kuanzia bench huku nafasi yake ikichukuliwa na Bwana mdogo Eduardo Camavinga.
Ni matumaini yangu kuwa leo tutakuwa na match nzuri.,
HalaMadrid!!!
 
Bado team inapata shida kutengeneza mashambulizi na pia kufunga, itabidi Carlo abadilike kipindi cha pili, kama game ya tatu hivi team inashidnwa kupita pembeni, ni wakati tuwe na plan B ya kutengeneza mipira ya hatari kutokea kati kati.
 
Tumefungwa goli la kizembe sana hapa, Nacho kwenye hii game ya leo hayupo kabisa.
 
Madridkwa sasa hana timu ya kushinda kombe lolote nje yaSpain. Ni muda mwafaka kwa timu za Spain kuanza na uwezekaji mpya ili angalau baada ya miaka wawe na timu za kupigania ubingwa wa Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…