Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Ni aina gani ya mfumo Zidane atakaotumia second leg inategemea na uwepo wa either Mendy ama Valverde, ninasema hivyo Kwa kuwa ukiwa na Mendy unajua upande wako wa kushoto upo safe na Valverde anaongeza kasi ya mchezo pamoja na pressing, Sasa ukiwa na nyongeza ya aina ya hao vijana utaona ni namna gani game itabadilika, ina maana Kroos na Luka watatoka kuziba nafasi za wings back wetu wao kazi yao itakuwa ni ku detect tempo ya game tu. Tusiongee acha muda utaongea, mabdiliko mtayaona.Nakwambia kabisa mkuu mkicheza 4 3 3 mnatakuwa na hatari ya kufungwa kirahisi kwsbbu hao wachezaji wenu wa huko mbele yaani Vini Jr na Asensio na Benzima ni wavivu kukaba kwahiyo timu muda wote itakua na wachezaji saba tu.
Sasa kwa huu mfumo Chelsea itawasumbua. Bora mcheze 3 4 3. Sio 3 5 2 ya jana. Kidogo mkifanya hivo mtatupa tabu lkn pia Zidane hawezi kucheza na viungo wawili tu hapo kati maana Toni na Modric ni viungo wazuri sn lkn ni Wazee hawawezi kukimbia sn hawana kasi kabisa na ndio sbbu wao ni mafundi wa kutoa pasi tu.
Casamiro yeye ni fundi wa kukaba tu.... Lkn sio kuchezesha timu. Sasa Kz kwenu. Mcheze 4 3 3 au mbadilike.
Sawa mkuu tusubiri tuoneNi aina gani ya mfumo Zidane atakaotumia second leg inategemea na uwepo wa either Mendy ama Valverde, ninasema hivyo Kwa kuwa ukiwa na Mendy unajua upande wako wa kushoto upo safe na Valverde anaongeza kasi ya mchezo pamoja na pressing, Sasa ukiwa na nyongeza ya aina ya hao vijana utaona ni namna gani game itabadilika, ina maana Kroos na Luka watatoka kuziba nafasi za wings back wetu wao kazi yao itakuwa ni ku detect tempo ya game tu. Tusiongee acha muda utaongea, mabdiliko mtayaona.
Ule mfumo tulioanza nao,ni mfumo mbovu sana..yaan tusiurudie...timu yoyote ukifanikiwa kukamata eneo la kati umemaliza kwa kiwango kikubwa,jana kumuacha Kante atawale pale kati ndio alitulaza na viatu.Kiukweli mfumo haukuwa rafiki kwa team japokuwa ulitusaidia kuwa hold, ila tulipocheza 4 3 3 team ilianza kucheza vizuri, kwasababu Luka na ko
Kroos walirudi kati kati., ninajua Zidane alipanga vile kutokana na wachezaji waliopo, ila second leg Mendy na Valverde wakiwa fit itatusaidia sana kwasababu anaweza kupiga 4 4 2 mfumo ambao utatusaidia kutengeneza mipango na kushambulia kutokea kati kati.
Ninadhani baada ya dakika 3 za mwanzo za game alijua tu amezingua, match dhidi ya Real Betis kipindi cha pili alibadili mfumo tukacheza kama alivyoanza jana na team haiku cheza poa kabisa chakushangaza akarudia huo mfumo dhidi ya Chelsea.Ule mfumo tulioanza nao,ni mfumo mbovu sana..yaan tusiurudie...timu yoyote ukifanikiwa kukamata eneo la kati umemaliza kwa kiwango kikubwa,jana kumuacha Kante atawale pale kati ndio alitulaza na viatu.
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Habari njema sana hii, ila kwa upande mwingine ninaona Dani amepata majeraha tena na atakuwa nje kwa muda uliobakia msimu huu.
Game ya juzi ilikuwa heavy ukizingatia ndo ametoka majeruhi, kupitia hawa waliotoka majeruhi huenda Chelsea waka-take advantage ku-press mno.Habari njema sana hii, ila kwa upande mwingine ninaona Dani amepata majeraha tena na atakuwa nje kwa muda uliobakia msimu huu.
Vipi Mendy na Valverde jumatano watakuwa hawajapona kweli?Ramos returns to training with sights set on Chelsea
The Real Madrid captain was involved in full training with the rest of the squad today and may get playing time next Saturday vs. Osasuna
Mendy bado haijajulikana, ila Valverde atafanyiwa tena vipimo, kama atakuwa negative basi atarejea kwenye kikosi kwa kuwa yeye hakuwa na majeraha ni ishu ya covid-19 tu ilimweka nje., Hawa wakipatikana wataimarisha team sana.Vipi Mendy na Valverde jumatano watakuwa hawajapona kweli?
Ile team ina vijana wengi na wana speed kweli kweli, hapo ili uweze kwenda nao Sawa ni kuwa na mpira pamoja na kufanya mashambulizi ya haraka nafasi inapopatikana.Game juzi ilikuwa tafu sana...washenz walikuwa na Jambo lao kweli,natumai Zizu atakuja na mbinu kabambe,angepatikana mtu wa kumtia papi Kante akatoka nje ingekuwa safi sana...hata hivyo wachezaji wa Chelsea wanapambana coz wana uchu na hili kombe compared na Madrid ambayo asilimia kubwa ya wachezaji wana UEFA 4 mkononiView attachment 1768044
Match fixing to save fellow catalans itawaponza blaugarana maana inchi yao ile hakuna anae panda ndege zaidi ya barca mwenyewe, sasa imebidi wamwachie mwanya granada nae akacheza EUROPA futuhi. Hii itawacostBarcelona walikuwa na kiporo Chao dhidi ya Granada Leo ninaona kimechacha, walishaanza kupiga mahesabu kuwa wakishida hiyo game watakuwa wanaongoza ligi, Sasa hali imekuwa sio