Umechanganyikiwa Mkuu hahahahahahahahah ni Wa Ukraine wale Shakhtar donesk.Tumepigwa nje ndani na timu ya Kituruki. Aibu yetu. Na ile timu ya kijerumani ya kuvaa jezi nyeusi ni balaa, watatundandika sita. The difference from Arsenal and Real Madrid now is, one is from England and other is from Spain.
Yes. Kumbuka Mariano ni damu changa. Yuko very active, mwepesi. Benzema ni mzee, mzito. Tumia akiliZidane sijui nini kinamsumbua anamtoa Benzema anaweka Mariano Diaz , tuna safari ndefu
Zidane sijui nini kinamsumbua anamtoa Benzema anaweka Mariano Diaz , tuna safari ndefu
Huyo mariano anarukaruka tu hamna kitu hapo..Yes. Kumbuka Mariano ni damu changa. Yuko very active, mwepesi. Benzema ni mzee, mzito. Tumia akili
Hatuchezeshi damu tunachezesha kiwango huwezi fananisha Benzema na MarianoYes. Kumbuka Mariano ni damu changa. Yuko very active, mwepesi. Benzema ni mzee, mzito. Tumia akili
Japo Zizu ana zingua sioni kama akitoka itakua solution, hatuna wachezaji hasa strikers na bekiHakuna BREAKING NEWS juu ya YAZIDU ZIDANE maana ametuchosha
Perez Fanya mambo.....
Miaka michache ya hapo nyuma Kuna watu walikuwa wanasema Zizzou ni bora kuliko makocha wote waliopo English premier league, nikawaambia bado hatujauona uwezo halisi wa Zidane kama kocha.Zidane sijui nini kinamsumbua anamtoa Benzema anaweka Mariano Diaz , tuna safari ndefu
Umechanganyikiwa Mkuu hahahahahahahahah ni Wa Ukraine wale Shakhtar donesk.
Miaka michache ya hapo nyuma Kuna watu walikuwa wanasema Zizzou ni bora kuliko makocha wote waliopo English premier league, nikawaambia bado hatujauona uwezo halisi wa Zidane kama kocha.
Leo hii anatuthibitishia kuwa yeye ni kocha wa kawaida sana level za akina Pochetino. Wachezaji na system tangulizi ndio vilimbemba kwenye ile glorious spell.
Kama Kuna kitu ambacho Zidane amefanikiwa kwa uwezo wake binafsi Kama kocha pale Real Madrid, Basi ni kuwapa uhakika wa matokeo kwenye mechi dhidi ya Barcelona (El classico) tofauti na hapo hakuna kingine amebaki kibahatisha tu.
Mfano kama sasa hivi, real Madrid akifaulu kuingia mtoano kwenye UCL utakuwa ni ubahatishaji tu... Na hayo ndio yatakuwa maisha yake kama akiendelea kuwepo hapo klabuni
Haitokaa itokee game ya mwisho tunampiga mjerumani tuna kaa on top ila maisha ya mbele huko sijui kama tuta surviveKwa hiyo kwa mara ya kwanza kuna uwezekano wa sisi kucheza game za ulaya za alhamisi
Ila kwa kwel hii timu ni vile huwez hama ila inaumiza moyo balaaHaitokaa itokee game ya mwisho tunampiga mjerumani tuna kaa on top ila maisha ya mbele huko sijui kama tuta survive
Tulifurahi pamoja,tuhudhunike pamojaIla kwa kwel hii timu ni vile huwez hama ila inaumiza moyo balaa
Ila inaumiza kiukweliTulifurahi pamoja,tuhudhunike pamoja
Hivi kwenye group mnatoboa kweli?Kwenye group stage tu out