Ramos na Varane ni duo back moja kali sana wewe. Matokeo ya mechi moja yasitufanye tutafute lawama za kulazimisha.Hii team gereji timu shamba inakatisha tamaa..nafikiri ni muda sasa tupasue kibubu tufanye usajili kila siku nasema ramos na varane wasicheze pamoja miguu inawasaliti.
Ilà Varane kazidi mabokoRamos na Varane ni duo back moja kali sana wewe. Matokeo ya mechi moja yasitufanye tutafute lawama za kulazimisha.
Tumefungwa kwa sababu moja, maandalizi ya mechi ya UEFA keshokutwa Jtano.
Ramos na Varane ni duo back moja kali sana wewe. Matokeo ya mechi moja yasitufanye tutafute lawama za kulazimisha.
Tumefungwa kwa sababu moja, maandalizi ya mechi ya UEFA keshokutwa Jtano.
Tumeshinda game lakin tumebebwa.
Inter wamenyimwa penalty kama tuliopewa sisi. Arturo Vidal kaonewa sana.
Thanks, Madam RachelGo and cry somewhere Barka dog
Pole sana basi tufanye 1-2Tumeshinda game lakin tumebebwa.
Inter wamenyimwa penalty kama tuliopewa sisi. Arturo Vidal kaonewa sana.
We umetokea wapiTumeshinda game lakin tumebebwa.
Inter wamenyimwa penalty kama tuliopewa sisi. Arturo Vidal kaonewa sana.
Zizou kaishiwa mbinu kabisa.. Timu inapiga pasi kibao zisizo na maana. Terrible playing style. Kutengeneza nafasi ni kama tunabahatisha tu.Hii timu inaitaji ufagio wa nguvu kuanzia benchi la ufundi adi uwanjani bila hivyo tutakua mguu ndani mguu nje.
Tumekua mabingwa msimu uliopita bila uwepo wake.. So chill.Naona La Liga msimu huu ni vipigo tu.
Toka Penaldo aondoke mmekuwa level ya Lipuli