It's very difficult as bado tunapitia kipindi cha mpito, kuna mambo mengi ya kuweka sawa ili kuirudisha Madrid ile ya ushindani. Ukizingatia wachezaji walioenda umri ambao bado tunao na hii damu mpya iliyoingia plus unfit players til now! Kwahiyo sio kazi ndogo, Zidane apewe muda.