Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Zizu nmemnyooshea mikono jinsi alivyo panga kikosi jana 4-3-3 ya ajabu ajabu bado tukapata matokeo positive

Msimu huu pekee Zizou ashapiga 34 different line-ups. Ni unpredictable kwenye hili swala la kupanga timu. Jana watu walikuwa wanalia kwanini Vinincius Jr yuko benchi, kwanini kamtoa Valverde badala ya Modric. But he knows we have Manchester City to deal with.
 
Ni kweli jamaa,kila gemu tunayokuwa nayo wasiwasi,anatu prove wrong,hata hyo ya kesho kutwa anakuja na game plan nyingine kabisa,hala madrid
 
Lopetegui alikosa bahati na muda tu, tungekuwa tunaupiga mwingi sana. Pia Lope na Solari hawakuwa na ile tank kushoto, which meant Ramos kucheza nafasi yake na ya Marcelo muda mwingi(mpaka Regui alipokuja). But still, Zizou hapewi heshima anayostahili.
 
Jana nlivyo tazama lineup nikawaza tuna lose au draw siku amini kama tuta shinda.
Kitu kingine Benzema anapambana sana katubeba msimu huu anastahili heshima yake
 
Jana nlivyo tazama lineup nikawaza tuna lose au draw siku amini kama tuta shinda.
Kitu kingine Benzema anapambana sana katubeba msimu huu anastahili heshima yake

Kuna watu watakwambia hawamuelewi Benzema.
 
Jana nlivyo tazama lineup nikawaza tuna lose au draw siku amini kama tuta shinda.
Kitu kingine Benzema anapambana sana katubeba msimu huu anastahili heshima yake
Kwa mtu anaelewa mpira atampa Benzema heshima ya kutosha. He is so underrated. Alafu uzuri wa jamaa hana maneno.
 
Wakati Real Madrid tunahitaji ushindi tubebe ndoo, Villareal wanahitaji ushindi kuingia top four ya kucheza UEFA mwakani. Leo kazi ipo!!

Leo ndio fainali ya la liga. But always Zidane doesn't disappoint us on the final games. Leo nawe kufa maana moyo unaenda kasi kuliko kawaida.
 
Leo ndio fainali ya la liga. But always Zidane doesn't disappoint us on the final games. Leo nawe kufa maana moyo unaenda kasi kuliko kawaida.

Mie sina matumaini kivile na ushindi leo. Naombea tutoe sare basi, tukamalizie mechi ya mwisho
 
Leo ndio fainali ya la liga. But always Zidane doesn't disappoint us on the final games. Leo nawe kufa maana moyo unaenda kasi kuliko kawaida.
Mechi ngumu hua Imani inaongezeka kwa upande wangu. Hua tunaenda tumejiandaa kweli kweli
 
Baada Ya Mapumziko Ya Corona!!

Ikabidi Niangalie Hatua kwa Hatua Kila Mechi kupitia Television Laliga Fixtures..

Pamoja na Uwepo VAR Maamuzi ya Jopo la Maamuzi yanasikitisha sana na Kutia Kinyaa..Why Barca & Realmadrid..

Timu shiriki kama Takataka WTF!!

Is Laliga Corrupt...??

Answer -YES.

Ligi ya kichoko Laliga...Kisenge!!

Yaheri Kutazama Failed Seria A-..kuliko La liga.

Laliga Corrupt/
Laliga Racists/
 
Pole mshabiki wa Barca jikazewe mzee sio kwa ubayaaa...!!
Mwaka huu nao mnatoka kapaaaa...
 
Ovyo Aslay.

Aslay-Mchepuko=Nikki Mbishi Mchepuko

Aslay-Moyo Kibri= Alicom-Moyo.

BASATA/COSOTA COPYRIGHT!!!

BASATA/Cosota Mnagawana Ruzuku & kuku kwa Mrija WTF....

WAJINGA NYINYI

Mpo mpo Utadhani mnatoka Jeshi la Wafu.
Pole mshabiki wa Barca jikazewe mzee sio kwa ubayaaa...!!
Mwaka huu nao mnatoka kapaaaa...
Barcelona & Real Madrid = Corrupt Laliga.
 
Umechanganyikiwa mpaka unaongea utopoloooo...!!
 
Tunajua mwezi mchanga huu, tunakusamehe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…