Hii timu ndio ileile ya Lopetegui na Santiago Solari iliyokuwa inapigwa bao kwasababu ya weak defense and no game plan, lakini Zidane akichukua na kuifanya iwe timu bora kabisa kwenye eneo la ulinzi.
Halafu uje hapa uniambie mafanikio aliyoyapata Zidane huko nyuma ilikuwa ni bahati tu.