Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hana jambo la maana la kusema zaidi ya kuomba tu Zidane afail, watu wa hivi ni unakuta anaumia kisa mafanikio ya mtu, sasa safari hii wajiandae kulazwa kabisa sababu Zidane ndio kwanza ameanza awamu ya pili.
#HalaMadrid!!

Mimi nashindwa elewa wanashindwa kushabikia timu zao

Madrid ilikuwapo kabla na itaendelea kuwapo#halamadrid
 
Aya unatakaje kwa mfano
Nataka msipeane matumaini hewa..... Bila major signing ya striker pale mbele hamuendi kokote!!

Zidane mnampa heshima hewa..... Valverde na Mwamba wa goli ndio kawapa kombe sio zidane. He's a mediocre coach aliyebebwa na nyota ya Ronaldo.

Ntarudi humu May baada ya kuwa mmemtimua
 

Ndio icho unataka kusema?
 
Sawa tumekusikia ndugu mjumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mpaka sasa hujaona utofauti wa Madrid ya 2018/19 na ya 2019/20 basi utakuwa unaongelea ushabiki mkuu @HalaMadrista SpainSuperCup 2019/20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu bado critics wa zidane wapo sawa.... Supercup sio major trophy ni kma community shield tu. Pia Madrid kaingia kwa wildcard sio merit.

La liga,spanish cup na UCL ndio kipimo cha zidane sio hili bonanza la uarabuni
Mbongo ngumu kushindwa ubishi alichukua ligi mtasema UCL ndio kipimo na pia alichukua UCL mtasema ligi ndio kipimo,HII NDO TANZANIAAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla Zidane hajawa kocha pale Madrid ni makocha wangapi wamepita na Ronaldo akiwepo? , hembu tupe mafanikio yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah kwa comment za hivi ndio maana CR7 anatukanwa bure. Tumpe heshima yake zidane,wengi walimdhihaki na kumuona sio kocha bali kabebwa na kikosi kilichoundwa na mou ila kwa sasa anaprove ni kocha hasa kwa hali aliyoikuta nayo madrid msimu ule.
 
Lord Lucas Vazquez is back on the starting line up.
 
Luuk de Jong heads Sevilla ahead, but their joy is short-lived as the referee checks VAR and the goal is disallowed.
 
Don’t be surprised if Zidane makes a change at the half...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…