Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Sasa nimeelewa kwanin club walilalamika baada ya huyu refa kuteuliwa kupuliza.kipenga, jamaa ni ovyo sijawahi ona., kuna ile nje kidogo ya box alipeta pia.,Mi bado nalia na Refa tu, yaani kapeta clear penalty kama mbili hivi. Yaani sisi kuweka mpira nyavuni ndio kakumbuka VAR
Sasa nimeelewa kwanin club walilalamika baada ya huyu refa kuteuliwa kupuliza.kipenga, jamaa ni ovyo sijawahi ona., kuna ile nje kidogo ya box alipeta pia.,
Acha aendelee ujinga wake kuna siku atashindwa kuwabeba!!Refa ni Barcelona damu damu, na likija swala la Barca na Real Madrid anashindwa kuwa professional
Mendy anapiga cross ngumu mno pia ana makosa madogo madogo yanaweza kutuletea balaa replacement ya Marcelo bado haijapatikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure man, Reguilon alikuwa hajakomaa kihivyo ila yupo poa kwenye kukaba na kutoa pass za mwisho , Ninaona Mendy hana tofauti sana na Theo. Kosa.tulilolifanya kwa Hakimi tulilirudia kwa Reguilon pia!!I don't want underrate Mendy lakini kwa mtazamo wangu hakukuwa na haja ya kumleta pale kama replacement ya Marcelo wakati tunatoa mkopo Reguilon. Mi nakwambia yule dogo yuko faster na anapiga cross tamu kuliko Mendy