skate-board
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 490
- 581
Hapa inabidi kutoa Isco aje Modric aondoke Bale aje Rodrygo
Kuna lingine mshukuru bahati yenuHaya wandugu...mtaikumbuka hii post....,mnaenda kufaaaaa hiki kipindi cha pili
Jamaa mzito kama zombie nafas yan mzito sanaTunajulikana hatuna mshambuliaji mwenye umakini mkubwa...benzema wetu ili afunge goli moja anahitaji kukosa goli 9 za wazi kwanza...nafikiri viungo waendelee kupiga nakujaribu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema hana maamuzi
Tatzo la isco anakata moto mapema ndio maana akitoka sub anakuwa mkaliHuyu Zidane nae anafanye sasa hapa...unamuachaje Bale unamtoa Isco?..Bale hapandi wala hafanyi mashambulizi yakushtukiza huyu ndo wakumtoa sasa...unatoa watu walioperfom vzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi bado nalia na Refa tu, yaani kapeta clear penalty kama mbili hivi. Yaani sisi kuweka mpira nyavuni ndio kakumbuka VAR
Huyu Zidane nae anafanye sasa hapa...unamuachaje Bale unamtoa Isco?..Bale hapandi wala hafanyi mashambulizi yakushtukiza huyu ndo wakumtoa sasa...unatoa watu walioperfom vzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
pale ndo benzema katukosesha ushindi...stll i beliv la liga ni yetu thz season
Mpuuzi benzema kanikera sana hajui afanye nini halina mamuzi hii mechi tungewapiga hawa mbwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijikuta nimetukana kwa nguvu mpaka nikajishtukia, jamaa alibaki anatetemeka miguu man, hii game tulitakiwa tushinde kabisa, Barca wenyewe wanashukuru kwa kutoa suluhu
Huyo hana shida man, mwenyew hapo alipata nafasi kwasababu Hazard ameumia,We need a proper striker wa kupachika mabao, huyu Bale mi ndio naona bora auzwe aletwe kifaa kingine