Vyote hivyo ni visingizio, wachambuzi wengi wanasubiri kuona Zidane atafanya nini bila Ronaldo, sababu wanaamini kuwa team ndio iliyokuwa inambeba na sio uwezo wake. Kwahiyo Zidane ana kazi ya kuthihirisha kuwa ni kocha bora na sio kwamba ana bebwa na team.