A very very solid performance from our team, vijana Leo walikuwa makini sana, team ilichangamka na walionekana kujiamini sana, hivi ndio inatakiwa team iwe, ninamini huu ni mwanzo.
Kila mmoja alicheza vyema ila Valverde alicheza vizur zaidi, Dogo ana uwezo mkubwa sana wa kufanya marking na kupress, uwepo wake uwanjani unampunguzia Casemiro majukumu na kuwapa Kroos/Modric muda wa tune mchezo wa team! !
Point 3 muhimu na clean sheet! ! HalaMadrid! !