Acha kabisa man, Dogo anadhani kila muda anafanya marinara, anashida kubwa sana kwenye kupiga pass za mwisho pamoja na kuona lango sawa sawa, sioni ajabu Rodrygo kumweka bench,
La liga msimu huu ipo wazi ni juhudi na consistency ya team inahitajika kubeba kombe, Sio Catalans wala Atletico anayeeleweka, team zote zina homa za vipindi, Since Zizou ameshapata mwelekeo wa team yake ni muda wa kukaza sasa kama kweli tunataka kuchukua La Liga msimu huu! !
Real Madrid's starting XI vs Galatasaray: Thibaut Courtois; Dani Carvajal, Raphael Varane, Sergio Ramos, Marcelo; Fede Valverde, Casemiro, Toni Kroos; Rodrygo, Karim Benzema, Eden Hazard
Team inacheza poa sana, kidogo kidogo tunaanza kuona ile link kati ya mchezaji na mchezaji, bado kidogo upande wa Hazard bado hajaanza kulink na wenzie japokuwa anacheza vizur sana.,
Huyu RODRYGO ni mtu huyu...huyu mtoto anajitahidi sana anjua goli lilipo...yule Jr ana mambo mengi ambayo hayasaidii timu hata yeye hayamsaidii...ni machachari ila siyo hatari..huyu Rod ni balaa
Vunisius Jr ana boa sana asipo badilika soon atarudishwa Casitlla na kupotelea huko huko, ana utoto mwingi angetumia mda huu wakati Asensio hayupo lkn ana chezea chance kuna yule dogo tulimtoa Man city ni mzuri pia bora Zidane ampe yule nafasi kuliko Fun Vunisius Jr
Huyu RODRYGO ni mtu huyu...huyu mtoto anajitahidi sana anjua goli lilipo...yule Jr ana mambo mengi ambayo hayasaidii timu hata yeye hayamsaidii...ni machachari ila siyo hatari..huyu Rod ni balaa