OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,310
Sasa wakati huo ninyi Liverpool hamkuwa na mvuto...Tatizo ni moja tu! Real inapotaka kuuza wachezaji wake inakosa Timu ya Kuwanunua hatimae wanishia kutolewa Kwa Mikopo kwasababu wao haiwahitaji kiwachezesha.
Miongoni kwa wachezaji waliopo Nje kwa Mikopo kwa kukosa timu za kiwanunia ni Kovacic na Ceballos.
Hata James alizunguka kwa Mkopo Bayern bila ya kupata Mteja wa kumnunua.
Unajua kwanini?
Kwasababu Bodi ya Real inawaekea wachezaji wake walioflop bei ambayo sio uhalisia kwa Wachezaji hao.
• Sisi Liverpool tulimtaka Asensio tukaambiwa anauzwa kwa £150m
• Tulimtaka Isco tukaambiwa ni lazima tuifikie Release Clause Yake (Sijui hata ni Pounds mia ngapi?)
• Tulimtaka Dani Ceballos tukaambiwa bei Yake ni £75m
• Hapo ukimtaka huyo James basi utaambiwa utoe £100m
• Ukimtaka Bale utaambiwa utoe £100m
• Tazameni bei muliyomuuza Moratta kwa Chelsea wakati ni very poor striker hata haiingii akilini.
• Luna timu nyingi tu za EPL zilivutiwa na Bale ikiwepo Man United na Spurs lakini hawakuweza kubid kutokana na kutokuwa tayari kumnuni Mchezaji mwenye umri zaidi ya Miaka 30+ kwa bei ambayo isingepungua £100m.
Kwahiyo Bodi lazima ilazimishe Zidane atumie wachezaji waliopo kwasababu Wakumuuzia kwa Bei wanazotaka Wao hayupo, Na kumwachia Zidane awauze kwa Bei ya Kisoko (Mfano wa £30 - 40m) hawako tayari.
Sasa wakati huo ninyi Liverpool hamkuwa na mvuto...
Hata sammata angetakiwa na nini lazima angekataa tu
Mkuu, Atletico sio rahisi kunyanyua hiyo ndoo, Barca ana nafasi kubwa mno.Ukiangalia gap la grezzie lishazibwa na dogo Felix. Atletico ni mabingwa wa kuuza na kununua. Walimuuza Falcao wakampandisha Costa, gap likazibwa. Wakamuuza Costa wakaibukia kwa Grezzy pengo likazibwa. Sasa kaondoka grezzy kaja felix.
Msimu huu wameondoka wachezaji 5 tegemeo wa kikosi cha kwanza. Captain Godin, Juan fran, Lucas Hernandez, Rodri, na grezzie, lakini mapengo yao yameshazibwa tena kwa ukamilifu kabisa. Ukiangalia kikosi cha Atletico cha sasa ni bora kuliko cha Barca na madrid. Mbio za ubingwa zitakuwa ngumu sana. Na kwa maoni yangu this tym Simion el cholo atanyanyua kombe japo ni mapema sana kusema haya.
Nope..jamaa ypo right, atletico wanabeba this time.Mkuu, Atletico sio rahisi kunyanyua hiyo ndoo, Barca ana nafasi kubwa mno.
Hahahahaha wapuuzi gani hao?Na hapo wale wapuuzi wawili wa PSG hawapo ndani....lazima tubadilike aisee....
Neymar na Mbappe, naona jana walikuwa wanacheka kweli kweli kule jukwaani, yaani dah! Sio poa kabisa [emoji17]Hahahahaha wapuuzi gani hao?
Sijawahi kuchoka kusikiliza Madini yako mkuu.Tatizo ni moja tu! Real inapotaka kuuza wachezaji wake inakosa Timu ya Kuwanunua hatimae wanishia kutolewa Kwa Mikopo kwasababu wao haiwahitaji kiwachezesha.
Miongoni kwa wachezaji waliopo Nje kwa Mikopo kwa kukosa timu za kiwanunia ni Kovacic na Ceballos.
Hata James alizunguka kwa Mkopo Bayern bila ya kupata Mteja wa kumnunua.
Unajua kwanini?
Kwasababu Bodi ya Real inawaekea wachezaji wake walioflop bei ambayo sio uhalisia kwa Wachezaji hao.
• Sisi Liverpool tulimtaka Asensio tukaambiwa anauzwa kwa £150m
• Tulimtaka Isco tukaambiwa ni lazima tuifikie Release Clause Yake (Sijui hata ni Pounds mia ngapi?)
• Tulimtaka Dani Ceballos tukaambiwa bei Yake ni £75m
• Hapo ukimtaka huyo James basi utaambiwa utoe £100m
• Ukimtaka Bale utaambiwa utoe £100m
• Tazameni bei muliyomuuza Moratta kwa Chelsea wakati ni very poor striker hata haiingii akilini.
• Luna timu nyingi tu za EPL zilivutiwa na Bale ikiwepo Man United na Spurs lakini hawakuweza kubid kutokana na kutokuwa tayari kumnuni Mchezaji mwenye umri zaidi ya Miaka 30+ kwa bei ambayo isingepungua £100m.
Kwahiyo Bodi lazima ilazimishe Zidane atumie wachezaji waliopo kwasababu Wakumuuzia kwa Bei wanazotaka Wao hayupo, Na kumwachia Zidane awauze kwa Bei ya Kisoko (Mfano wa £30 - 40m) hawako tayari.
Amemlaani huyu jamaa anatobolewa kinoma ,wakati alikuwa stopper mzuri sanaHahaha Navas alikuwa sahihi sana apo madirid ila kumuaminj Qotwaa ambaye ana laana ya fans wa Chelsea maana ni kama msaliti hivi ..iyo ni Ku take risk kubwa sana ...
Kuanzia Qotwaa mpaka uyu Ziddane timu nzima imepigwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Cr7 alikuwa ni motivation kwa wachezaji wengi sana apo madirid ..na alikuwa sahihi kwake kuondoka ..maana kila kitu kabeba na hii timu.. Kasoro la liga nadhani
Usajiri sikatumia £250m+? Kamleta Ferland Mendy ,naona kabisa bora Marcelo mzeeZidane atasingizia usajili.
Ila ukweli timu mbovu sana huyu kipa anatakiwa atolewe mkopo. Navas hakutakiwa Uzwa
aha sawa mkuu nilidhani kachukua Mara moja tu..basi keshabeba kila nadhani mpaka ile club world cup champion..Kachukua 2 ya kwanz 2011/2012 na ya pil 2016/2017View attachment 1212058View attachment 1212059
Drogba alifanyaje Mkuu?inawezekana pia, Drogba alishafanya hivyo
Aliondoka Chelsea ila baadae alirudu tenaDrogba alifanyaje Mkuu?