Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,370
Ingependeza sana kama Zizou atamtumia, kwa jinsi mambo yalivyo sasa na majeruhi ya Asensio, James anaweza kutusaidia sana, itakuwa ajabu sana kumtegemea Lucas Vasquez na Brahim Diaz badala yake, ana offer vitu vingi kuliko hao wawili, anaweza kucheza nyuma ya foward kama AM na wing ya kulia, Ngoja tuone maamuzi ya club na bench la ufundi wataamua kitu gani .I am happy to see James is back I wish him stay. Jamaa anajua na ni mfungaji mzuri pia, zidane amtumie Huyu jamaa,
Yule nguvu tu stamina ya mpira Hana.For me pogba hahitajiki...hana uwezo wakiwango chakuweka benchi kiungo yoyote...ni mchezaji wa kawaida na huwa katika game zenye kuhitaji maamuz ya haraka tutapata hasara...
This is a good news to me. Wish him all the best.According to AS
Real Madrid tell James he's staying
Real Madrid have informed James Rodríguez that he will not be transferred and will remain at the club for next season.
Kabisa man, Kama Zizou akiamua kumtumia atatusaidia sana, tangia aondoke tumekosa creativity na zile penetration pass kwenye eneo la ushambulizi, Isco amekuwa akipewa nafasi lakini ajabu hatengenezi nafasi wala sio mkabaji mzuri, so James kuingia kwenye team itatutoa kwenye ule mfumo wa kutumia mabeki kupiga cross kila mara badala yake tutapata option nyingine ya kutengeneza nafasi kupitia kati Kati hapo ndio tutaona uwezo wa Luka Jovic .This is a good news to me. Wish him all the best.
Karim atauzwa ila ninadhan ni mpaka msimu ujao, tayari kuna Jovic ameletwa kwa ajili either ya kucheza pamoja ama kushindana nae, club inachofanya inasubir impate Mbappe kwa bei nafuu, msimu ujao inawezekana sababu atakuwa amebakiza miaka 2 kwenye mkataba wake na PSG, kwahiyo tuwe tu wavumilivu! !Kwangu wa kuuzwa ni karimu sioni cha maana anachofanya kama sio kurukaruka ka ajibu
Hakuna mchezaji wa madrid nisiyempenda kama karim yaani huyu jamaa hajui kitu hata simba angepigwa benchKwangu wa kuuzwa ni karimu sioni cha maana anachofanya kama sio kurukaruka ka ajibu
Baba kamkumbuka mwanae,ila katika kitu Perez namlaumu kumuacha huyu jamaa aondoke .
Baba kamkumbuka mwanae,ila katika kitu Perez namlaumu kumuacha huyu jamaa aondoke .
Sidhani kama anajuta jamani. Umri wa Cristiano umeenda na pia kiwango kimeshuka ili kuthibitisha hilo fuatilieni misimu miwili ya mwisho pale Real Madrid magoli kama sio yote alikuwa anafungia wapi tofauti na akiwa na umri mzuri kimpira(miaka 23 mpaka miaka 29)Yeye mwenyewe anajilaumu hapo alipo,kikosi kizima kimevurugika
Sidhani kama anajuta jamani. Umri wa Cristiano umeenda na pia kiwango kimeshuka ili kuthibitisha hilo fuatilieni misimu miwili ya mwisho pale Real Madrid magoli kama sio yote alikuwa anafungia wapi tofauti na akiwa na umri mzuri kimpira(miaka 23 mpaka miaka 29)
Walifanya sahihi ili ifanyike succession ya damu mpya
Mbappe ni mtu sahihi kurithi mikoba CR7 na ndio maana Real Madrid bado haijanunua mchezaji wa bei ghali Right-wing