Ili uwe madridista uwe vipi? upende kila kilichpo kwenye timu hata kama kibovu? Hivi hamuoni jinsi majamaa wanavotagisha magoli kila siku? zile 5 za barca zilifungishwa na Benzema? 4 za atletico? 3 za sevilla? timu haiwezi kufika hata dakika ya 20 haijatiwa goli halafu matatizo bado hamuyaoni?
Katafuteni muone waraka wa Conte aliowaekea real madrid mpaka wakashindwa kukubaliana, Moja likiwemo kufanyika usajili wa quality center Back tena January.