Ulaya timu huwa zinaangalia sana future na soko lilivyo ndo maana nimekwambia kwa bei ya sasa wachezaji wako ghali sana haswa mastraika hafu ni wakawaida. Nachokiona mm ni kuridhika kwa wachezaji
mkuu tatizo lakwanza ninaloliona mimi nikua atakosa heshima kutoka kwa wachezaji, Zidane tayari alikua ni mtu anaeheshimka tafauti na Solari. Na kocha anapokosa heshima kwa wachezaji sifikirii kama patatarajiwa kitu hapo, Hasa watu kama Ramos na courtois ni watu wa ovyo sana.
Jengine hata huko chini kwa vijana haonekanwi kama anafanya vizuri, Tafauti na alivokua zidane au guadiola Barca, timu zao zilikua zikifanya vizuri tafauti na Solari.
I don’t care if it’s just a Copa Del Rey match against a small side. You’ve got to start again somewhere. I want to see the players out there enjoying their football. Just bring back the passion and desire. We are starving for something to cheer about.