lini Madrid walicheza michezo mitano bila ushindi ?Tuwe wakwali CR7 hakwepeki mbona ukweli huu unapindishwaHebu twambie mwaka jana wakati timu ilipokua ikifanya vibaya je kulikua na pengo la nani? Huyo Ronaldo hakuwemo ?
kumbe ndo maana ana umama
Hapa ndio uliharibu kabisa post yako!!.... Yaani mechi zote hizo bila goli hadi mmevunja rekodi yenu ya ukame mrefu zaidi katika historia ya klabu alafu unasema tatizo sio forward zenu ila beki?? Hvi kwa magoli yote mnayokosa utalaumu beki zenu??Tatizo la Real kubwa ni Nyuma nasio mbele.
Hahahaaaa ....na vile vitoto aisee wamevionea yani Hata kwenye kubet real kapewa 1:12 wale 35:20 hahahaaleo naona tunashinda goli za kutosha tuu
Madrid kocha pekee anayeweza irudisha kwenye hadhi yake ni Antonio Conte. Japo mwanzo anaeza pata shida lakini ataweza ijengea madrid heshima tena kubwa tu.