Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #39,021
Sijui kocha kawaza nini hadi kumuanzisha lucas ..ila kwangu lucas sio mchezaji wa kuanzishwa ngoja tuone mwisho wa game.
Kikosi kipo sawa kabisa...
Mkuu, huyo Lucas mwache hapohapo alipo mkuu. Kama umfahamu muangalie kuanzia hii game ya leo.