Karibu Thiba...ila kwa mimi nina amini kama hatuna safu nzuri kule mbele bado tutakuwa tunaleta mashambulizi huku nyuma na matokeo yake ni kuwa hata huyu kipa ataonekana siyo mzuri....bado nina amini inatakiwa kusajili mshambuliaji kiwango cha dunia haswa kwa sababu zile zile za kiuchumi na timu kuwa na morali kubwa,hii foward yetu ya kina Benzema hii yakufuga ndevu nakutegemea kina Bale na Ansensio wanaotumia mguu mmoja katika kucheza nakufanya maamuzi bora tunapata tabu sana kwenye mashindano makubwa ya mtoano..