Numby ntakuwa huku mara nyingi
Nikiwa kule ntashindwa ku concentrateNipo pote pote tu. Uwanja umependeza
Carvajal kaumia tena. Nakumbuka fainali ya Roma ilikuwa hivi hivi
Labda washinde njaa.Real mtashinda 1-0 na atafunga ronaldo.... Hongereni in advance 😀