Kubabake. Kazi tunayo.
Kwa nn wametunyima kutuletea hao Majike ya jiji.? tuwaburuze
Daah ila poa cc ni Mabingwa tu
Liver hafiki final labda umeme ukatikeKwahiyo Munaogopa Mechi au?
Kwanza Mtoeni Huyo Bayern ili tujue Kama Muna uwezo Angalau Wa Kupata Sare Kwa Liverpool
Usiseme hivyo mambo yanabadikaKatika hatua za mtoano kama hizi au fainal huwa ninaamini mechi zinakuwa ngumu kama tukicheza na timu ambayo tunatoka nayo spain...ila vilabu vingine sina wasiwas kabisa...Bayern akiwa moto alikula goli nyingi sana Home and away...awamu hii tena kipigo kinajirudia...sion timu yakuinyima ubingwa Madrid hapa.
Kabisa Mkuu, ile situation ilitokeailitujifunze kitu., Zizou atalifanyia kazi..,Second leg na Juventus ni woke up call kwa Real Madrid. Nothing like that will happen again
Good News ni kwamba Ramos atacheza Semi final., UEFA wameona hakuvunja sheria, so hatopewa adhabu kama ilivyokuwa inadhaniwa awali.,
Get over it dude, we're in the semis.
Hahaha., ninadhan watakuwa wameumia sana walivyosikia hiyo habari, nilidhan ingeendeleza tena ile drama ya juzi kuwa tunapendelewa, sababu wapinzani wetu baada ya ile game kuisha walishikia bango hilo suala la Ramos.UEFA sio la liga, maana wale watu wa Spain wanatafuta sababu tu wamfungie mchezaji . Kila siku mashauri
Hahaha.., Ninaona kilio kimekuwa kikubwa sana man, anyway tutatolewa siku moja na wew upate japo furaha, haipendezi kila siku sie tu.., Bayern wamefurahia hii draw angalau na wao walipe kisasi..,ofcource mupo semis. yakawaida tu hayo yshakua. hata mwaka jana mlipita kwa mazingara hayohayo
hapana...usijali...me nakuambia...Usiseme hivyo mambo yanabadika
Ndugu
ofcource mupo semis. yakawaida tu hayo yshakua. hata mwaka jana mlipita kwa mazingara hayohayo