Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Apr 11, 2018 #36,281 Nokia83 said: Ur nt serious...huyo anaekuchokoza unamjua vzr Click to expand... Tangu umenijua Jf ushaniona nimemtukana mtu?? Simjui na wala sina haja ya kumjua.
Nokia83 said: Ur nt serious...huyo anaekuchokoza unamjua vzr Click to expand... Tangu umenijua Jf ushaniona nimemtukana mtu?? Simjui na wala sina haja ya kumjua.
Inferior Complex JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 3,655 Reaction score 5,033 Apr 11, 2018 #36,282 CCNP Engineer said: We kaache. Ngoja masela wakapige pump kwenye uchochoro. Janamke gani usiku wenzie wote wametulia vyumbani na wame zao. Yeye pwakupwaku huku. Sijui hanaga mchizi hata wa kuzugia masikini. Dah!!!!! Click to expand... Lijimama hilo linatafuta
CCNP Engineer said: We kaache. Ngoja masela wakapige pump kwenye uchochoro. Janamke gani usiku wenzie wote wametulia vyumbani na wame zao. Yeye pwakupwaku huku. Sijui hanaga mchizi hata wa kuzugia masikini. Dah!!!!! Click to expand... Lijimama hilo linatafuta
Swahili Ambassador JF-Expert Member Joined Feb 18, 2018 Posts 204 Reaction score 245 Apr 11, 2018 #36,283 Kilio cha yatima hiki..
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,493 Reaction score 119,281 Apr 11, 2018 #36,284 Marcelo game imemkataa leo, D. Costa amemuonea sana.
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Apr 11, 2018 #36,285 Linamo said: Tangu umenijua Jf ushaniona nimemtukana mtu?? Simjui na wala sina haja ya kumjua. Click to expand... Ndio maana nakwambia u dnt av to do it leo...kuna watu humu hata wakikutukana usipowajibu kila mtu ataelewa. Tuendelee kufurahia kabumbu jamani
Linamo said: Tangu umenijua Jf ushaniona nimemtukana mtu?? Simjui na wala sina haja ya kumjua. Click to expand... Ndio maana nakwambia u dnt av to do it leo...kuna watu humu hata wakikutukana usipowajibu kila mtu ataelewa. Tuendelee kufurahia kabumbu jamani
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Apr 11, 2018 #36,286 Mchawi Mkuu said: Ujue hako age imepanda halafu hana mume ndo kaz yake kushinda jukwaan kupata lakini Sasa kachuja Click to expand... Nasemaje wewe si kidume zungumza na mimi huyo wala haungi mkono upumbavu wako
Mchawi Mkuu said: Ujue hako age imepanda halafu hana mume ndo kaz yake kushinda jukwaan kupata lakini Sasa kachuja Click to expand... Nasemaje wewe si kidume zungumza na mimi huyo wala haungi mkono upumbavu wako
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,290 Apr 11, 2018 #36,287 -KANA- said: Taratibu wakuu, aliewafunga ni Mandzukic. Msimalizie hasira zenu kwa huyu dada. Click to expand... Hahahhaha mandzukic anabahat na madrid kazima mzik
-KANA- said: Taratibu wakuu, aliewafunga ni Mandzukic. Msimalizie hasira zenu kwa huyu dada. Click to expand... Hahahhaha mandzukic anabahat na madrid kazima mzik
- kANA - JF-Expert Member Joined Apr 17, 2017 Posts 4,088 Reaction score 10,552 Apr 11, 2018 #36,288 Mchawi Mkuu said: Nenda kahudumie ndoa kama huna mume huku hupati Click to expand... Akamuhudumie nani wakati wanaume tupo huku kwenye mpira? Acha atufate huku huku. Yani mkifungwa mnatukana kila mtu ***** zenu. Jana mmetukana sana tulikua tunawasubiri! Acha juve awashike makalio kimya kimya!
Mchawi Mkuu said: Nenda kahudumie ndoa kama huna mume huku hupati Click to expand... Akamuhudumie nani wakati wanaume tupo huku kwenye mpira? Acha atufate huku huku. Yani mkifungwa mnatukana kila mtu ***** zenu. Jana mmetukana sana tulikua tunawasubiri! Acha juve awashike makalio kimya kimya!
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,493 Reaction score 119,281 Apr 11, 2018 #36,289 CCNP Engineer said: Wanawale wazuri wazuri wameolewa..... Yamebaki manunga yembe yanahangaika. Click to expand... Mkuu, stara basi!!
CCNP Engineer said: Wanawale wazuri wazuri wameolewa..... Yamebaki manunga yembe yanahangaika. Click to expand... Mkuu, stara basi!!
Antonio de Guzman JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 7,943 Reaction score 15,678 Apr 11, 2018 #36,290 Linamo said: Tena unikome hunijui sikujui Click to expand... Punguza jazba msweety
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Apr 11, 2018 #36,291 Mchawi Mkuu said: Lijimama hilo linatafuta Click to expand... Umama kwangu sifa tafuta neno lingine... Nimekuuliza una jipya?????
Mchawi Mkuu said: Lijimama hilo linatafuta Click to expand... Umama kwangu sifa tafuta neno lingine... Nimekuuliza una jipya?????
Inferior Complex JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 3,655 Reaction score 5,033 Apr 11, 2018 #36,292 Linamo said: Nasemaje wewe si kidume zungumza na mimi huyo wala haungi mkono upumbavu wako Click to expand... Mbona unatafuta kiki wewe mama tuache damu changa! Nenda kahudumie mume
Linamo said: Nasemaje wewe si kidume zungumza na mimi huyo wala haungi mkono upumbavu wako Click to expand... Mbona unatafuta kiki wewe mama tuache damu changa! Nenda kahudumie mume
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 9,985 Reaction score 5,707 Apr 11, 2018 #36,293 Linamo nakuomba utulie..pls nakuomba..
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 9,985 Reaction score 5,707 Apr 11, 2018 #36,294 Madrid wakikumbuka kale ka wimbo ka uefa huwa kanawapa mzuka..leo sijui imekuwaje...
Inferior Complex JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 3,655 Reaction score 5,033 Apr 11, 2018 #36,295 Wazeeee Madrid anashawish
Inferior Complex JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 3,655 Reaction score 5,033 Apr 11, 2018 #36,296 Linamo said: Nasemaje umama kwangu sifa neno jipya ndio mimi mmama nitafute kiki kwako wewe mpuuzi uliyekuja jf juzi?? Jiangalie Click to expand... Haya sawa Shikamoo mama
Linamo said: Nasemaje umama kwangu sifa neno jipya ndio mimi mmama nitafute kiki kwako wewe mpuuzi uliyekuja jf juzi?? Jiangalie Click to expand... Haya sawa Shikamoo mama
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 9,985 Reaction score 5,707 Apr 11, 2018 #36,297 Anaecheka mwisho ndo hucheka zaid..na siku zote mjinga hucheka mara mbili..
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Apr 11, 2018 #36,298 Linamo said: Umama kwangu sifa tafuta neno lingine... Nimekuuliza una jipya????? Click to expand... Shemeji nani kakuuzi tena
Linamo said: Umama kwangu sifa tafuta neno lingine... Nimekuuliza una jipya????? Click to expand... Shemeji nani kakuuzi tena
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Apr 11, 2018 #36,299 Nokia83 said: Ndio maana nakwambia u dnt av to do it leo...kuna watu humu hata wakikutukana usipowajibu kila mtu ataelewa. Tuendelee kufurahia kabumbu jamani Click to expand... Okay. Wacha niendelee kulinda heshima yangu. Nimeelewa.
Nokia83 said: Ndio maana nakwambia u dnt av to do it leo...kuna watu humu hata wakikutukana usipowajibu kila mtu ataelewa. Tuendelee kufurahia kabumbu jamani Click to expand... Okay. Wacha niendelee kulinda heshima yangu. Nimeelewa.
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Apr 11, 2018 #36,300 Antonio de Guzman said: Punguza jazba msweety Click to expand... Okay