Na ni kuwapiga bila huruma waache bangi zaoPSG fans wanawafanyia fujo wachezaji wetu Hotelini huko Paris. Inawezekana wakafanya hila hata kwenye stadium leo. Dawa yao leo ni kuwatandika wawe nje ya mashindano wapate adabu.
we tulia umsubiri morata!Leo mnagongwa na Cavani kotekote
Mkuu ODDS sio mwamuzi wa mechi.Kwa odds hizi mh
Na kikosi hiki hakuna MODRIC wala KROOS