Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Ndio hiyo hiyo. Wale wakiaminiwa watafanya vema hasa wakicheza na wa level yao kama levante. Hii first eleven inatatizo la kutojiamini na kupanic wanazidiwa kidogo tu.Second squad ipi, iliyotolewa Copa Del Rey?
Hakuna mwenye afadhali hata mmoja, team nzima kama wote wekumbwa na zimwi la kutojiamini, ninadhan na matokeo yanachangia, ulichangia na ugeni wa akina Theo mambo yanakuwa magum kidogo, Bado hawa vijana wanahitaji kukomaa kidogo., Kama Zidane atabaki msimu ujao watafaidikakuliko sasa.,Ndio hiyo hiyo. Wale wakiaminiwa watafanya vema hasa wakicheza na wa level yao kama levante. Hii first eleven inatatizo la kutojiamini na kupanic wanazidiwa kidogo tu.
Ila mi nahisi kuna ka mgomo baridi hapa maana si kwa flop hiiHakuna mwenye afadhali hata mmoja, team nzima kama wote wekumbwa na zimwi la kutojiamini, ninadhan na matokeo yanachangia, ulichangia na ugeni wa akina Theo mambo yanakuwa magum kidogo, Bado hawa vijana wanahitaji kukomaa kidogo., Kama Zidane atabaki msimu ujao watafaidikakuliko sasa.,
Nzuri. Za kwako mkuu?Habarini za asubuhi humu..
Hamna hata Mgomo, ni vijana wetu wamechoka tu wengine wamesharidhika na mafanikio waliyowapata, unaona kabisa vijana wanataka mambo yaendehiv ila ndio hivyo mambo hayaende kama wanavyotarajia, ndio maana wanapanic sana.,Ila mi nahisi kuna ka mgomo baridi hapa maana si kwa flop hii
Zidane kweli ni mpiga dili sio kocha ameshindwa kumtumia Isco?maajabuNimesikia mnataka kumuuza Isco. Tupeni kama mmeshindwa kumtumia. Tutajua pa kumuweka.
Jeeeez!!!!!! we ulikuwa sabbatical leave?????????Hasta el final, hell....to the next life and million ones after. Siempre madridista.
Mtembeapo kwenye bonde la ufa la umauti msiogope PSG [emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi wanatutambua shughuli yetu tumewakalisha sana Camp Nou na kuzimisha safar zao za matumaini ya kubeba UEFA je nyie huu mfupa mtauuweza?