Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #33,661
Samahani wakuu naomba mwenye link imara isiyokwamakwama anigawiwe niangalie mpira huu kwa raha. Link hii ninayotumia sasa inayumba sana na kuninyima raha: Genti.Stream
Pamoja sana mkuu.
HT:mpira umechangamka kweli kwel kila timu ikitaka kufunga kabla ya mwenzake,tumeweza kumiliki mpira mara nyingi sana kuliko wao na tumefika kwao mara nyingi zaidi japokuwa hatujatendea haki pasi zilizopigwa,timu imecheza vyema...nafikiri tutumie kupiga pasi za haraka haraka zakaribu huku tukifungua kwa haraka...goli zipo nyingi sana