Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,893
- 8,975
yaani mtu huwa analeta shobo na watu wa humu humpuuza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sijui huwa anajisikiaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bale kaumia tena (groin) and looks like atakua nje ya uwanja kwa mwezi ivi,sijui nani alibana uyu jamaa kwenda Utd kipindi kile walivyo komaa nae.
Marca wanasema, Bale suffered 24 injuries since joining Real Madrid in 2013.
Aliyekuwa mchezaji wa Tottenham na Southampton Bale anaweza kurejea katika Premier League ikiwa atafurahia kufanya hivyo. (Mirror)Aliyekuwa mchezaji wa Tottenham na Southampton Bale anaweza kurejea katika Premier League ikiwa atafurahia kufanya hivyo. (Mirror)
Labda wamtoe bure,no premiership will touch such a sick noteAliyekuwa mchezaji wa Tottenham na Southampton Bale anaweza kurejea katika Premier League ikiwa atafurahia kufanya hivyo. (Mirror)Aliyekuwa mchezaji wa Tottenham na Southampton Bale anaweza kurejea katika Premier League ikiwa atafurahia kufanya hivyo. (Mirror)