Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,368
Dogo yupo vizur sana, hope ataendelea kuimprove kadri muda utakavyokuwa unasonga, yupo makini sana, ana uwezo kabisa wa kucheza na yeyote awe ni Ramos ama Varane.,Nimependa Vallejo uchezaji wake.
Fantastic assist from cr7 to Isco..[/QUOTE
Hilo goli limenikumbusha ile nguvu yetu ya counter attack na umaliziaji wa uhakika, kweli vijana wanajituma kurudisha ile hali yetu, ni Benzema tu bado anashangaa,ila nimeona hari waliyonayo vijana wetu, kidogo dogo tutarudi tena.,
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!
Huwa inatokea kukosa bahati kuweka mpira wavuni, Ramos na yeye pia amekuwa hana bahati kweli, japokuwa anajitahidi sana kutafuta goli., mambo yakirudi kwenye mstari ndio wataanza kutupia, ila kwasasa wanatakiwa watulize akili tu.,Cr7 hana bahati kwa kweli. Anajitahidi sana ila nyavu zinagoma
Wameiona hii comment yako. Cr 7 na Ramos wapo JF nowHuwa inatokea kukosa bahati kuweka mpira wavuni, Ramos na yeye pia amekuwa hana bahati kweli, japokuwa anajitahidi sana kutafuta goli., mambo yakirudi kwenye mstari ndio wataanza kutupia, ila kwasasa wanatakiwa watulize akili tu.,
REAL MADRID YAWASILIANA NA COUTINHO
Real Madrid wanaamini wataweza kuipiku Barcelona katika mbio za kumsajili Philippe Coutinho, kwa mujibu wa Mundo Deportivo .
Baada ya jitihada zao kugonga mwamba kumsajili mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazili majira ya joto, Barca sasa wanataka kurudi upya kwa ajili ya kiungo huyo dirisha la uhamisho litakapofunguliwa Januari. Lakini Madrid imeibuka kuwa timu nyingine ambayo anaweza kujiunga nayo nyota huyo.
MESSI AMKATAZA AGUERO KUJIUNGA NA REAL MADRID
Lionel Messi amemshauri Mwargentina mwenzake Sergio Aguero kutojiunga na Real Madrid mwaka ujao, kwa mujibu wa Diario Gol .
Rais wa Madrid Florentino Perez amemtaja straika wa Manchester City, Aguero kuwa mchezaji sahihi na anaamini ataweza kumshawishi kujiunga na Blancos ikiwa Pep atamsajili Alexis Sanchez.
Lakini kwa mujibu wa habari Lionel Messi amemtumia ujumbe Aguero kwa njia ya WhatsApp, na amemwambia rafiki yake kipenzi na Mwargentina mwenzake kuwa ni vema abaki Manchester kwa sababu Madrid inaelekea kuporomoka na City wanazidi kuwa tishio chini ya Guardiola kwa sasa.
Ni heli amerudi kuimarisha Tim,bado calivajarThe professor is back working with the ball.
Ni heli amerudi kuimarisha Tim,bado calivajar
ni habari njema sana hii..Carvajal ana-train zaidi ya wiki sasa, kuna kila dalili atacheza game ijayo.