Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #33,181
Hii foward line ya Madrid ina matatizo hasa hasa Benzema
Forward yet imepwaya sana
Man, Spurs surprisingly started with 5 difenders formation. Timu zote sasa hivi zimeshasoma mchezo wetu, wanatuwekea ukuta wa kufa mtu.
Saa zingine unaongea point,Spurs were just lucky but unaomba umalize wa pili hili ukutane na PSG au CITY hapo you just pulling our legsSpurs hawakutuzuia pamoja na hiyo 5-men defense line, ni kuwa tulishindwa tu kutumia nafasi nyingi za wazi tulizopata. Kutokuwa na ulazima wa kushinda na aina ya mchezo waliokuja nao Spurs(kutafuta sare) ndio vilituponza tukacheza kama kutimiza wajibu tu. Wengi wanasahau sana kuwa hii timu inacheza kadiri ya mchezo na opponent.
Naomba sana tumalize group tukiwa nafasi ya pili ili round ya 16 bora tukutane na Man City au PSG, ndio watu wataijua hii timu iko vipi ikitaka kitu.
Saa zingine unaongea point,Spurs were just lucky but unaomba umalize wa pili hili ukutane na PSG au CITY hapo you just pulling our legs
hayo maombi yako yapite mbaliSpurs hawakutuzuia pamoja na hiyo 5-men defense line, ni kuwa tulishindwa tu kutumia nafasi nyingi za wazi tulizopata. Kutokuwa na ulazima wa kushinda na aina ya mchezo waliokuja nao Spurs(kutafuta sare) ndio vilituponza tukacheza kama kutimiza wajibu tu. Wengi wanasahau sana kuwa hii timu inacheza kadiri ya mchezo na opponent.
Naomba sana tumalize group tukiwa nafasi ya pili ili round ya 16 bora tukutane na Man City au PSG, ndio watu wataijua hii timu iko vipi ikitaka kitu.
hayo maombi yako yapite mbali
kwa moto walio nao PSG kwa sasa em tuwe na subira kidogo japo uko semifinals lkn kwenye round of 32 mkuu dua baya hiloNi woga wako tu. Hakuna timu sasa inaweza kusimama na Real Madrid inapoamua kucheza, wala wasi sina. Besides, tulimaliza msimu uliopta nafasi ya pili na tukavivuka vigongo kwa urahisi tu, so haitatushtua sana.
kwa moto walio nao PSG kwa sasa em tuwe na subira kidogo japo uko semifinals lkn kwenye round of 32 mkuu dua baya hilo
anyway ila kwa sasa naiona team yetu bado haipo kwenye form yake kabisa tuna pata ushindi kwa taabu, team kma Spurs walikua wa kula 4 ila ndo ivo tenaPSG hawana moto huo, we're still the team to beat. Na ili kuwa mabingwa lazima tujiamini kucheza na yoyote muda wowote. Hata Man United na Barca walikuwa kwenye kiwango kizuri zaidi yetu wakati tunakutana nao mwanzo wa msimu, lakini uliona kilitokea nini.
Mkuu saa nyingine haya matokeo yanatokana na team unayocheza nayo, kwa mfano, kama tukicheza na PSG hawataweka mabeki watano, ila na wao watataka kushambulia, hapo nipo huwa tunapo geuza watu, ila ukicheza na team inayotafuta sare hiyo game inakuwa ngum kweli, sababu muda wote wanawaza kujilinda zaidi ya kushinda.anyway ila kwa sasa naiona team yetu bado haipo kwenye form yake kabisa tuna pata ushindi kwa taabu, team kma Spurs walikua wa kula 4 ila ndo ivo tena
Kweli kabisa Mkuu, ninakumbuka wakati tunachukua La Undecima, maneno yalikuwa mengi sana, wengi walidai kuwa tulipendelewa, kuonyesha kuwa tulistahili this time around tukakutana na hao wakali wao, tukawavuruga kuliko wale wabovu.,PSG hawana moto huo, we're still the team to beat. Na ili kuwa mabingwa lazima tujiamini kucheza na yoyote muda wowote. Hata Man United na Barca walikuwa kwenye kiwango kizuri zaidi yetu wakati tunakutana nao mwanzo wa msimu, lakini uliona kilitokea nini.
Mkuu saa nyingine haya matokeo yanatokana na team unayocheza nayo, kwa mfano, kama tukicheza na PSG hawataweka mabeki watano, ila na wao watataka kushambulia, hapo nipo huwa tunapo geuza watu, ila ukicheza na team inayotafuta sare hiyo game inakuwa ngum kweli, sababu muda wote wanawaza kujilinda zaidi ya kushinda.